Jukwaa la Historia

On JF:

GUMZO LA HARITH GHASSANI: MOHAMED SAID ANAMWELEZA ABDUL SYKES KUTOKEA BURMA INFANTRY 1945, DOCKWORKERS UNION 1949 HADI TAA 1950 NA KUUNDA CHAMA CHA TANU 1954 Baada ya Kipindi Cha Kwanza...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Ameandika Francis Daudi Hayati Bibi Christina Mgaya wa Nyang'ombe alikuwa mke wa tano(Kati ya wake 22) wa chifu Nyerere Burito. Hayati Bi. Mgaya ndiye mama mzazi wa baba wa Taifa la Tanzania...
9 Reactions
6 Replies
7K Views
Nicolae Ceausescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Execution by Firing Squad ) Nicolae Ceausescu akiwa...
15 Reactions
125 Replies
19K Views
Mtu anapoondokewa na wake akili inahangaika sana lakini mara mtu anasahau na maisha yanaendelea. Hizi ni katika rehma za Allah vinginevyo maisha yetu yote duniani yangetawaliwa na huzuni kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi wanaJF poleni kwa wagonjwa wote na wale wazma niendelee kuwa na afya njema. Baada ya kukaa kimya kirefu bila kuleta uzi wa kuongezeana maarifa basi leo Naomba nilete uzi huu...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
SALIM HIMIDI KATIKA PICHA KATIKA MAZUNGUMZO Mtu anapoondokewa na wake akili inahangaika sana lakini mara mtu anasahau na maisha yanaendelea. Hizi ni katika rehma za Allah vinginevyo maisha yetu...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanini Akina Hamza Mwapachu, Ally Sykes, Paul Rupia, Dr. Lucian Tsere, Dr. Vedast Kyaruzi na Stphen Mhando hawatajwi sana kwenye Historia ya TAA na TANU? Wana historia wa Tanzania kuna makala...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Leonard de Vinci mdadisi wa kila kitu asilia katika historia huenda alikuwa raia wa Uturuki. Katika makamala iliotolewa na jarida la The Guardian, mwanahistoria wa sanaa Simon Hewitt amesema...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
SALIM HIMIDI KUMBUKUMBU MWAKA MMOJA Leo imetimu mwaka mmoja toka rafiki yangu na kwa hakika rafiki ya wengi waliojaaliwa kumjua kufariki Paris alipokuwa anaishi uhamishoni toka Comoro ilipovamiwa...
1 Reactions
0 Replies
913 Views
Dinka ni watu gani? Mamia ya miaka iliyopita , watu wa jamii ya ki Dinka walikuwa wakijuoikana na kuitwa Moinjung, ikiwa na maana watu wa watu. Hili ndilo kabila la watu warefu kabisa barani...
5 Reactions
36 Replies
5K Views
Hizi bunduki(neno la kiarabu) ulaya zilianza kutumika miaka ya 1500. Asia, Uarabuni , India na kwingineko hawakuchelewa kuanza kuzitumia. Hata wakati wazungu wanaenda kuchukua makoloni walikutana...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2019 AKINA MAMA WAZALENDO KATIKA TANU, KWA MSAADA WA Mohamed Said NIMEJIFUNZA JAMBO KUBWA KATIKA HISTORIA YA TAIFA LETU. Moza Shillingy Omar Ahmed Sheikh Ayoub Omari Nundu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF, Hivi kuna yoyote aliwahi kuona makala (documentary) inayohusu maisha ya Muasisi wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? Mimi binafsi sijawahi. Ila ingekuwa fursa nzuri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ancient Egyptians were more closely related to people from the Middle East and Europe than those from Central Africa, according to a genetic analysis of mummies’ DNA. A team of international...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
BURIANI BI. ZAINAB SYKES MUHIFADHI WA HAZINA YA NYARAKA ZA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Baada ya kupata taarifa ya msiba wa mama yangu Bi. Zainab Sykes baada ya mshtuko kupita...
10 Reactions
13 Replies
4K Views
NINAVYOMKUMBUKA MAALIM Kumtembelea Maalim Seif nyumbani kwake ni mfano Waingereza wangesema ‘’a walk in the park,’’ Kiswahili chake labda mtu ungesema unatoka chumbani kwako unakuja sebuleni...
26 Reactions
109 Replies
55K Views
MAALIM: "THE GREATEST OF ALL TIME" KUTOKA CUF HADI ZAMBARAU Washehereshaji wa masumbwi Muhammad Ali alipokuwa ulingoni waliongeza kibwagizo katika kumtambulisha. Baada ya kutaja jina lake...
10 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama kichwa cha Habari kinavyojielekeza Simba dume maisha yake ni ya Furaha na huzuni Kubwa sana Wanapozaliwa simba katika kaya yao na Mama zao wanalelewa wote kwa pamoja na Dada zao Wanapofikisha...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…