Tarehe kama ya leo mwaka 1965 Malcom X aliuawa kwa kupigwa risasi, huyu Mwamba ni moja ya wapigania haki weusi huko Marekani aliyekuwa na ushawishi mkubwa sana.
RIP MLCOM X
DEDAN KIMATHI ALINYONGWA SIKU KAMA YA LEO 1957
Nimeona hapa barzani imewekwa taarifa ya kunyongwa Dedan Kimathi siku kama ya leo mwaka wa 1957.
Taarifa hii imenigutua na nimefunua kitabu cha...
MAJINA YA MITAA YAHIFADHI HISTORIA
Ndugu zanguni hivi sasa kuna mradi wa Anuani za Makazi (Post Code).
Naamini sote tunashausikia kwa kuwa serikali imeutangaza.
Mradi huu ulitakiwa uchukue miaka...
Huku kukiwa na mjadala duniani juu ya uhusiano wa kikabila, ukoloni na utumwa, baadhi ya wazungu na Wamarekani ambao walipata utajiri wao kwa biashara ya wanadamu wameshuhudia , sanamu zao...
KIPINDI MAALUM CHA ALI MSHAM IBN TV AFRICA
Leo nimetembelewa na mtangazaji Hemed Lubumba wa IBN TV ili tufanye kipindi cha Ali Msham.
Ali Msham alikuwa mpigania uhuru.
Mengi tumeyapata kwa...
Wadau Tarehe 26 April 1964 Nchi mbili za TANGANYIKA na ZANZIBAR Ziliungana na kupatikana NCHI ya TANZANIA.
Kitu cha AJABU Nchi ya ZANZIBAR ipo Nchi ya TANZANIA IPO lakini NCHI ya TANGANYIKA...
Wakati SÉKOU TOURÉ wa GUINEA alipoamua mwaka 1958 kuondoka katika himaya ya kikoloni ya Ufaransa, na kuchagua uhuru wa nchi hiyo, wasomi wa kikoloni wa UFARANSA huko PARIS walikasirika sana, na...
"Kila jambo lina wakati wake" ni maneno ya wahenga na vitabu vya dini.
Ingawaje Kuna wakati jambo huanza kwa uzuri na kuisha kwa ubaya kulingana na Vikwazo vikivyopo ukingoni.
Yote hayo ni...
WATAALAMU "PROFESSIONALS" WA TANGANYIKA WANAFUNZI WA COUNT VICTOR LUSTIG
Uzuri wa Tanganyika ni kuwa unaweza kukodi kila aina ya huduma na kwa kweli fani hii ina wataalamu mabingwa khasa...
Mshukiwa mmoja wa udakuzi wa komputa ambaye anasakwa na idara ya ujasusi nchini Marekani, FBI, kuhusiana na madai ya kuiba mamilioni ya madola kutoka benki za Marekani, ili kufadhili maisha ya...
KUMBUKUMBU KIFO CHA MANGI MKUU THOMAS MAREALLE 14 FEBRUARY 2007: PARAMOUNT CHIEF THOMAS MAREALLE KATIKA NYARAKA ZA RAJABU IBRAHIM KIRAMA WA MACHAME NKUU
Mara yangu ya kwanza kusoma historia ya...
ALASIRI MOJA NYUMBANI KWA CHIEF ABDALLAH SAID FUNDIKIRA 1992
(Hii makala sikuandika mimi mwandishi hataki jina lake litokee lakini siku hiyo ya mazungumzo tulikuwa pamoja ilikuwa November 1992)...
Msikilize "muasisi" wa TANU Mikindani kisha soma historia ya Msham Awadh kutoka kitabu cha Abdul Sykes (1998)
SIKILIZA HISTORIA HII YA ''MUASISI'' WA TANU NA SOMA HISTORIA YA MSHAM AWADH
Tukio...
Lucy Higgs Nichols ni mzaliwa katika utumwa huko Tennessee, lakini wakati wa Vita vya wenyewe kwa wenyewe alifanikiwa kutoroka na kupata njia yake hadi Kikosi cha 23 cha Wanachama cha Indiana...
Swali fikirishi;maisha kabla ya Uhuru yalikuweje? Kama baada ya Uhuru maisha ndiyo haya yakuhangaikasana,maji shida, ajira shida,umeme ni shida, ajira serikalini ni shida, mahitaji muhimu bei juu...
Alizaliwa, akapambana na kuuliwa kikatili, tofauti na wengine, yeye hata nchi yake ilipanga kufutilia mbali historia yake na kumtambua. Marehem akumbukwe kwa mazuri bwana. Hata anapopumzika...
TANU NA SANDUKU LA FEDHA LA ABDUL SYKES 1950s
Katika moja ya mijadala ya historia ya TANU na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika niliwaahidi wasomaji wangu kuwapa historia ya sanduku la fedha...
TANU TANGA WAKATI WA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA: DUA YA USHINDI WA KURA TATU MNYANJANI 1958
Chanzo cha yote yanayokuja hapo chini ni marehemu Mama Ummy bint Anzwan moja ya nguzo za CUF siasa za...
Hakika miaka imekwenda na kila mtu unapoangalia nyuma mengi yanakujia yakufurahisha na kuchekesha na mengine ya huzuni kukutoa machozi.
Taarifa ya habari ya Al Jazeera inaonyesha watu Marekani...
TAARIFA YA KIFO CHA SHEIKH ABDALLAH RASHID SEMBE MAY 1999
Nimeweka hapa historia ya dua iliyofanywa Mnyanjani mwaka wa 1958 ka ajili ya kutaka msaada wa Allah katika tatizo kubwa lilikokuwa...