Leo tujikumbushe tu majanga makubwa zaidi ya mafuriko katika historia duniani, ukiacha simulizi la gharika la Nuhu kwenye vitabu vitakatifu kabla ya kuzaliwa Kristo. China ilionekana kuongoza kwa...
Hawa ndio waliochanganya udongo siku ya.muungano 1964 nao ni Bi. Khadija Abasi Rashid, Bw. Elisaeli Mrema, Bw. Hassan Omari Mzee na Bi. Sifael Mushi au mama Shuma kwa jina lingine
MGOGORO WA MACHAME NA KIBOSHO
Kwanza nipende kuwaarifu kuwa hapo Mwanzo kabla ya utawala wa Sina hapakuwepo na uhasama kati ya Mashami na Kiwoso. Watu walikuwa wanashirikiana na kuoana toka...
MSHUME KIYATE KATIKA KURASA DARASA TBC1
Katika mahojiano yangu na mtangazaji Maureen Minanago wa TBC1 mtayarishaji wa kipindi Kurasa Darasa tukizungumza kuhusu utunzaji wa kumbukumbu...
Yakubu Gowon
Nigeria : 1966 - 1975
Total kills : 1.1 Million
Mengistu Haile Mariam
Ethiopia : 1974 - 1991
Total kills : 1.5 million
Kim II Sung
North Korea : 1948 - 1994
Total killing : 1.6...
Wengi ukiongolea Utumwa wanafikiri ni wale tu waliosafirishwa kwa meli mpaka Amerika, wanasahau kwamba Biashara ya utumwa ilifanyika hapa hapa pia, mfano wengi wanaojiita Wazanzibari leo hii...
Mnamo mwaka 1696 hadi 1698 utawala wa Unguja unatajwa kuwa uligawanyika ambapo aliyekuwa mtawala wa Zanzibar Kaskazini alikuwa ni Malkia Fatuma binti Yusuf al-Alawi.
Fatuma alikuwa mtoto wa...
Nyerere alicheza Msondo, wewe nani usicheze?
Miaka 56 iliyopita, nazungumzia mwaka 1964, bendi mbili kubwa za Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, zilipiga dansi maalumu la kuchangia chama cha...
Saparmurat Niyazov
Kuanzia mwaka 1985-2005 Turkmenistan ilikuwa chini ya dikteta Saparmurat Niyazov. Alifanya maajabu haya.
- Alijenga sanamu yake kubwa sana. Sanamu hiyo ilikuwa inazunguka ili...
MTAA WA SHEIKH YUSUF BADI LINDI
Sheikh Yusuf Badi hakupenda kupigwa picha na hadi leo sijapata picha yake.
Sheikh Mohamed Yusuf Badi ni sheikh pekee katika masheikh waliopigania uhuru wa...
Je Wajua?
KABILA LA WAKURYA
Abakuria (au Wakurya) ni kabila la watu wanaoishi katika wilaya za Rorya, Tarime na Serengeti kwenye mkoa wa Mara, kaskazini mwa Tanzania, na katika wilaya za...
Dkt, John Joseph Pombe Magufuli ni mwalimu na mtalaamu wa kemia akiwa na Shahada ya Uzamivu (PhD).
Kuzaliwa
Alizaliwa Oktoba 29 mwaka 1959 huko Katoma tarafa ya Bugando wilayani Geita jimbo la...
Miaka ya nyuma tuliona maandalizi ya hii siku kuanzia kwenye vyombo vya habari na hata viongozi wetu walikuwa wakilitaja hili jina kuanzia April mosi hadi siku kama ya leo kilele. Lakiini sasa...
Mwalimu Nyerere anabaki kuwa ALAMA ya baraka tele kwa taifa letu adhimu.
Komredi Manyerere Jackton anasema kuwa kila ukikutana na kuongea na Mwalimu Nyerere ulikuwa unaihisi nguvu ya ajabu na ya...
Kushoto ni Brian Wills kutoka Conservative Party ya Uingereza akisimamia uchaguzi wa UTP huyo pembeni yake ni Sheikh Hussein Juma aliyekuwa Makamu wa Rais wa UTP.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.