Ni Dictator yupi ameua watu wengi zaidi?

hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,648
1,539
Yakubu Gowon
Nigeria : 1966 - 1975
Total kills : 1.1 Million

yakubugowon.jpg

Mengistu Haile Mariam
Ethiopia : 1974 - 1991
Total kills : 1.5 million

Mariam.jpg

Kim II Sung
North Korea : 1948 - 1994
Total killing : 1.6 million

1179638-kim_il_sung.jpg

Pol Pot
Cambodia : 1963 - 1981
Total kills : 1.7 million

polpot1.jpg

Ismail Enver Pasha
Turkey : 1913 - 1919
Total kills : 2.5 million

8437640913_a41d981fc9.jpg

Hideki Tojo
Japan : 1941 - 1944
Total klls : 5 million

t4.jpg

Leopold II of Belgium
Belgium : 1865 - 1909
Total kills : 15 million

king-leopold-of-belgium-congo-genocide.jpg

Adolf Hitler
German : 1934 - 1945
Total kills : 17 million

20100908013927!Bundesarchiv_Bild_183-S33882,_Adolf_Hitler_retouched.jpg

Jozef Stalin
The Sovjet : 1922 - 1953
Total kills : 23 million

00047IW2ETW3O7W0-C122.jpg

Mao Ze Dong
China : 1943 - 1976
Total kills : 78 million
icon00000000006.jpg

eyUnc.jpg
 
Hapo mkuu huwa Western wanajitoa na kuweka maadaui wao.
Wazungu sijui nani aliyewaongoza, ktk America occupation, waliua wenyejizaidi ya 100millioni.

Ila Mao na Mke wake, wameongoza kwa mauaji yaliyosababishwa na SERA MBOVU ya LEAP FORWARD.
Alisababisha vifo vya wachina zaidi ya 40 Million. Ndiye anayeshikilia record nadhani.
Ashukuliwe Deng Xioping na ideology yake REFORM and OPENING UP. Ndio kaifikisha China hapa. Yote aliyafanya 1978
 
ina maana kama huyo aliyeuwa watu mil 78 ni aliuwa kwa mkono wake au jeshi lake ndio liliuwa hao watu
 
George Bush huko Iraq, Pakistani, Afghanistan... Au una maanisha kuua watu wako tu.
 
hizi statistics ni za muda mrefu zikiwekwa za karibuni bila kuegemea siasa za magharibi George Bush ataingizwa.
 
Huyo Hideki Tojo wa Japan kanitisha sana.
Ndani ya miaka mitatu 1941-44 kaua milioni 5?
 
wengi wamefanya mauaji kwa kugombea madaraka, WWII, kugombea maeneo ya utawala, kwa ajili ya sera mbovu zinazohusu uchumi (Mao wa China), vikundi vya kupindua serikali (coup d'etat) na siasa kali kama Hitler.
Mm naomba ufafanuzi jinsi wanavyofanya mauaji
 
1. George Bush

Someni hapa chini. But, you have to read between the lines. Mauaji yaliyofanywa na Wamarekani huko Afghanistani, Libya na Iraq hayajawekwa wazi sana.

The worst genocides of the 20th and 21st Centuries
by Piero Scaruffi | Email
TM, ®, Copyright © 2009 Piero Scaruffi All rights reserved.
Here is a tentative list of modern mass murderers and the estimated number of people killed by their orders (excluding enemy armies). In many cases (notably Stalin's and Mao's cases) one has to decide how to consider the millions who died indirectly because of their political decisions. The Chinese cultural revolution caused the death of 30 million people (according to the current Chinese government), but many died of hunger and ordinary Chinese (who, unlike us, were there) blame Mao's wife rather than Mao himself. Stalin is held responsible for the death of millions by Ukrainians, but "only" half a million people were killed by his order. Khomeini sent children to die in the war against Iraq, but it was a war.
Read the bottom of this page for frequently asked questions on controversial actions such as the atomic bombs, the Iraqi war, etc (that always involve the current superpower and usually the current president of that superpower).
I welcome feedback if i forgot anything or posted the wrong data, but PLEASE always provide reliable sources: webpages are gossips, not sources (and the WORST one is Wikipedia, edited by anonymous people with wildly biased agendas). Reliable sources are books written by professional historians who spent decades researching the event. Don't embarrass yourself.
An impressive number of readers (mostly from the USA) don't seem to know what "20th century" means and keep sending me emails about the Atlantic slave trade, the Native Americans, the Irish famine, etc. See also Wars and Casualties of the 20th and 21st Century: a genocide like the one in Rwanda that was not ordered by anyone is not listed in this page but it is in that page.
Ze-Dong Mao (China, 1958-61 and 1966-69, Tibet 1949-50) (see note at the bottom of this page)
Adolf Hitler (Germany, 1939-1945) 12,000,000 (concentration camps and civilians deliberately killed in WWII plus 3 million Russian POWs left to die)
Leopold II of Belgium (Congo, 1886-1908) 8,000,000
Jozef Stalin (USSR, 1932-39) 7,000,000 (the gulags plus the purges plus Ukraine's famine)
Hideki Tojo (Japan, 1941-44) 5,000,000 (civilians in WWII)
Ismail Enver (Ottoman Turkey, 1915-20) 1,200,000 Armenians (1915) + 350,000 Greek Pontians and 480,000 Anatolian Greeks (1916-22) + 500,000 Assyrians (1915-20)
Pol Pot (Cambodia, 1975-79) 1,700,000
Kim Il Sung (North Korea, 1948-94) 1.6 million (purges and concentration camps)
Menghistu (Ethiopia, 1975-78) 1,500,000
Yakubu Gowon (Biafra, 1967-1970) 1,000,000
Leonid Brezhnev (Afghanistan, 1979-1982) 900,000
Jean Kambanda (Rwanda, 1994) 800,000
Saddam Hussein (Iran 1980-1990 and Kurdistan 1987-88) 600,000
Tito (Yugoslavia, 1945-1980) 570,000
Suharto/Soeharto (Indonesian communists 1965-66) 500,000
Fumimaro Konoe (Japan, 1937-39) 500,000? (Chinese civilians)
Jonas Savimbi - but disputed by recent studies (Angola, 1975-2002) 400,000
Mullah Omar - Taliban (Afghanistan, 1986-2001) 400,000
Idi Amin (Uganda, 1969-1979) 300,000
Yahya Khan (Pakistan, 1970-71) 300,000 (Bangladesh)
Ante Pavelic (Croatia, 1941-45) 359,000 (30,000 Jews, 29,000 Gipsies, 300,000 Serbs)
Benito Mussolini (Ethiopia, 1936; Libya, 1934-45; Yugoslavia, WWII) 300,000
Mobutu Sese Seko (Zaire, 1965-97) ?
Charles Taylor (Liberia, 1989-1996) 220,000
Foday Sankoh (Sierra Leone, 1991-2000) 200,000
Suharto (Aceh, East Timor, New Guinea, 1975-98) 200,000
Ho Chi Min (Vietnam, 1953-56) 200,000
Michel Micombero (Burundi, 1972) 150,000
Slobodan Milosevic (Yugoslavia, 1992-99) 100,000
Hassan Turabi (Sudan, 1989-1999) 100,000
Syngman Rhee (South Korea, 1948-50) 80,000 (various massacres of civilians)
Richard Nixon (Vietnam, 1969-1974) 70,000 (Vietnamese and Cambodian civilians)
Efrain Rios Montt - but disputed by recent studies (Guatemala, 1982-83) 70,000
Papa Doc Duvalier (Haiti, 1957-71) 60,000
Rafael Trujillo (Dominican Republic, 1930-61) 50,000
Bashir Assad (Syria, 2012-13) 50,000
Francisco Macias Nguema (Equatorial Guinea, 1969-79) 50,000
Hissene Habre (Chad, 1982-1990) 40,000
Chiang Kai-shek (Taiwan, 1947) 30,000 (popular uprising)
Vladimir Ilich Lenin (USSR, 1917-20) 30,000 (dissidents executed)
Francisco Franco (Spain) 30,000 (dissidents executed after the civil war)
Fidel Castro (Cuba, 1959-1999) 30,000
Lyndon Johnson (Vietnam, 1963-1968) 30,000
Maximiliano Hernandez Martinez (El Salvador, 1932) 30,000
Hafez Al-Assad (Syria, 1980-2000) 25,000
Khomeini (Iran, 1979-89) 20,000
Robert Mugabe (Zimbabwe, 1982-87, Ndebele minority) 20,000
Rafael Videla (Argentina, 1976-83) 13,000
Guy Mollet (France, 1956-1957) 10,000 (war in Algeria)
Harold McMillans (Britain, 1952-56, Kenya's Mau-Mau rebellion) 10,000
Jean-Bedel Bokassa (Centrafrica, 1966-79) ?
Paul Koroma (Sierra Leone, 1997) 6,000
Osama Bin Laden (worldwide, 1993-2001) 3,500
Augusto Pinochet (Chile, 1973) 3,000
 
Mkuu source ya hizi taarifa Mara nyingi huwa ni CIA,FBI au Pentagon mwenyewe.
Ingawa inasemekana Obama nae kauwa watu weñgi kwe silent drone attacks.
Tofauti yake na bush sio direct war tukiacha libya. Lkn Syria,Iraq,Lebanon,Somalia, Afghanistan
Na sehemu nyingi tu watu Wa napigwa ambush kimya kimya na remote controlled drones. Mfano Somalia juzi drone attack watu zaidi ya 100 wakiwemo alshababu na wadau Wa karibu\wanakijiji. Hospital attack Afghanistan. Hata wewe ulipokuwa hapo usipoeleweka ukionekana unamovement Wa kigaidigaidi ukawa located coordinates zako, unatumiwa kitu bila kujali upo karibu na nani.
Ukifanya mju!uisho Wa hizi shughuli na bwana Baraka anakisiwa kubababisha vifo vya watu kibao.
 
Hapo mkuu huwa Western wanajitoa na kuweka maadaui wao.
Wazungu sijui nani aliyewaongoza, ktk America occupation, waliua wenyejizaidi ya 100millioni.

Ila Mao na Mke wake, wameongoza kwa mauaji yaliyosababishwa na SERA MBOVU ya LEAP FORWARD.
Alisababisha vifo vya wachina zaidi ya 40 Million. Ndiye anayeshikilia record nadhani.
Ashukuliwe Deng Xioping na ideology yake REFORM and OPENING UP. Ndio kaifikisha China hapa. Yote aliyafanya 1978

Nqona hujaelewa topic shida ya elimu madrasa!! Western ni akina nani hapo?American occupation wali occupy nchi gani?nilitegemea ungesema British colonialism kweli we empty basket
 
Mkuu source ya hizi taarifa Mara nyingi huwa ni CIA,FBI au Pentagon mwenyewe.
Ingawa inasemekana Obama nae kauwa watu weñgi kwe silent drone attacks.
Tofauti yake na bush sio direct war tukiacha lidya. Lkn Syria,Iraq,Lebanon,Somalia, Afghanistan
Na sehemu nyingi tu watu Wa napigwa ambush kimya kimya na remote controlled drones. Mfano Somalia juzi drone attack watu zaidi ya 100 wakiwemo alshababu na wadau Wa karibu\wanakijiji. Hospital attack Afghanistan. Hata wewe ulipokuwa hapo usipoeleweka ukionekana unamovement Wa kigaidigaidi ukawa located coordinates zako, unatumiwa kitu bila kujali upo karibu na nani.
Ukifanya mju!uisho Wa hizi shughuli na bwana Baraka anakisiwa kubababisha vifo vya watu kibao.

Samahani mkuu LIDYA NI nchi gani?
 
Leopoldo II wa Belgium
Huyu mshenzi aliuwa wa Kongo
15Milioni.kulikuwa hakuna kilio duniani.
Juzi waBelgium 34 waliuliwa Na magaidi kuzidi Leopoldo II kilio
Dunia nzima.
Ndugu zetu waKongo ndio hawana Thamani eeeeeh.
USA killed 16Million Iraq from 2003 to 2015
USA killed 5 to 6 Milions in Vietnam
From 1965 to 1975
USA killed 5million koreans
From 1950 to 1953
Ni majanga
 
Nqona hujaelewa topic shida ya elimu madrasa!! Western ni akina nani hapo?American occupation wali occupy nchi gani?nilitegemea ungesema British colonialism kweli we empty basket
Sasa Weye usio Na elimu ya madrasa
Hata kuandika shidaaa
Halafu unajidai Western hujui wakina Nani?au shule ya J2?
 
Nqona hujaelewa topic shida ya elimu madrasa!! Western ni akina nani hapo?American occupation wali occupy nchi gani?nilitegemea ungesema British colonialism kweli we empty basket
Lidya=libya
Athante. Ila usipanic kwa vitu vidogovidogo hadi upoteze mwelekeo Wa point zako.
Virusi vya dini bado vinakutafuna. Madrasa na mada hii wapi na wapi.
Unauwezo mkubwa Ila unashindwa kuumanage ukusaidie na jamii inayokuzunguka.
Rudi usome upya kwa utulivu acha papara utaelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom