Wakuu Habari zenu?
Nimeona mahali jamaa akizungumzia kuhusu hili tukio lililopewa jina la Battle of Manzese.
Alidai kwamba kuna wasomi walitaka kuliamsha balaa, ambalo lilitokana na kuwatetea...
SIKU MOJA ASUBUHI MOJA HAMISI HABABI NA MIMI NYUMBANI KWA NA KANALI AYUBU SIMBA
Hamisi Hababi kama walivyo Wamanyema ni watu wa ari sana.
Hamisi anakwepa sana kuitwa msomi au kumwita...
Wadau,
Mimi ni msomaji sana wa historia za Sheikh wangu, Mohamed Said na nimekuwa na bahati ya kukutana naye pia nyumbani kwake Magomeni Mapipa, miaka miwili iliyopita. Kama kawaida yake...
KITABU CHA MAISHA YA KANALI AYUBU SIMBA
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwaka wa 1988 katika kuadhimisha Miaka 30 ya Azimio la Busara Tabora alisema CCM iwatafute wale wote...
Kaka Mohammed Said,
Kwanza nakuamkia.
Pili, khutba zako kwenye social media zinaendelea kuwapotosha watu kuhusu mapinduzi matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964. Bila ya mapinduzi haya wengi wetu...
SIKU NILIYOIONA SIMU KWA MARA YA KWANZA ODEON CINEMA 1955 AU 56 AU NYUMA YA HAPO KIDOGO SIJAVUKA UMRI WA MIAKA MINNE
Nakumbuka kama jana vile.
Nilikuwa mgonjwa na baba yangu mdogo Mzee Issa...
‘’TENDA WEMA NENDA ZAKO USINGOJE SHUKURANI’’: KUMBUKUMBU ZA KANALI AYUBU SIMBA
Rafiki na ndugu yangu Hamisi Hababi leo asubuhi kaniletea kitabu cha maisha ya Kanali Ayubu Simba.
Hababi alipata...
NYUMBA ZILIZOKUWAKO DAR ES SALAAM YA 1950s
Hapo chini ni mfano wa nyumba nyingi zilizokuwapo Dar-es-Salaam miaka ya 1950.
Nyumba hizi zilikuwa na vyumba sita vyumba vitatu kila upande...
Vijana na watu wazima walishirikiana katika mchezo wa kamari (kwesa nsimbi). Mchezo huu pia ulitegemea ruhusa ya mtemi, maana mara kwa mara yaliweza kutokea matata ya kuuana wao kwa wao.
Kwa...
"Maafande naomba kusema jambo unajua nini ama wazazi wangu wangekuwa na uwezo ningefika hadi kidato cha tano na sita hivyo basi ningekuwa daktari. Moja ya ndoto yangu iliyofifia. Na hata...
Salam wanahistoria.
Ninasoma Tasnifu ya Wangari Mathai iitwayo Unbowed, Kwenye sura ya Kwanza, nimekuta maelezo kuwa kuna wakenya waliletwa Tanganyika kupigana Vita ya Dunia, kati ya Muingereza...
Safari Yangu Nchini Sudani Kusini
------------------------
Nchini Sudan Kusini, Mifugo Ni Mingi Kuliko Wanandamu.
------------------------
Nchi ya Sudani Kusini ni moja ya nchi inayopatikana...
Habari. Hivi hili eneo ambalo leo ni Tanganyika, limetawaliwa na wakoloni kwa muda wa miaka mingapi. Mkutano wa Berlin ulifanyika mwaka 1885. Lakini hadi mwaka 1898 Mkwawa alikuwa akipigana na...
Habari wadau.
Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 Serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni. Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Minaki, Ilboru, Pugu, Mazengo...
Na Masudi Rugombana
Huyu ndiye Baba wa uchumi wa China, ndiye aliyeasisi, aliyejenga na kusimamia ipasavyo misingi ya mfumo wa uchumi wa soko huria, na kufanya mageuzi mengi yanayoifanya leo hii...
Watafiti wengi walianza kupata mwangaza baada ya kujiuliza ujenzi wa mapiramidi ya misri matatu kuendana na mtililiko wa nyota.
Tafiti nyingine zikaja kuibua mapiramidi mengi kwa mtindo wa...
Sijui kama hii stori iliwahi kuletwa humu jf mbaba anaitwa Walter Summerford ndio Mwanaume anaeshikilia rekodi ya kupigwa radi tatu akiwa hai na moja kaburini kwake.
Walter ambae alikua Afisa wa...
AHMED MOHAMED JOHARI (MNUBI) YANGA WALIMKATISHA MASOMO SEKONDARI ACHEZE MPIRA
Picha hiyo hapo chini inatoka kwa Sunday "Computer'' Manara na yeye kaipata kwa kaka yake Kitwana ''Popat'' Manara...
HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KWENYE
UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA MAJADILIANO
KATI YA CHAMA...