Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Zamani TCU guide book ilikuwa inabainisha kozi ambazo ukizichagua kuna uwezekano wa kupewa mkopo, lakini cha ajabu mwaka huu 2017/2018, Tcu wametoa guide book, ambayo haionyeshi Kozi ambazo ni...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa utaratibu wa sasa, tutegemee karibu waombaji wote wenye divisheni 1 na II na baadhi ya wenye divisheni III kupata nafasi zaidi ya mbili kutegemea ameomba vyuo vingapi! Si rahisi MTU kuomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahani wakuu naomba kuuliza hv wenye div three mwaka huu wanaeza kuappy bachelor degree Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu habari natumai mnaendeleza vema kauli mbiu yetu ya hapa kazi tu.Ndugu wadau naomben mnielekeze jinsi ya kuingia kwenye profile yangu ya UDSM. MSAADA JAMAN NIPO CHAKA HUKU Sent using Jamii...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri anataka kusoma ila hajajua asome kipi kati ya ACCA au masters yoyote kama MBA nk. Uwezo wa kusoma kati ya moja wapo anao. Kwa mfano kusoma masters UD ada ni kama...
1 Reactions
44 Replies
9K Views
Kwa marks hizi naweza kusoma clinical officer?? Biology B Chemistry C Physics C English B B/maths E Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Eti wadau kozi ya communication system inahusu nini kiufupi . .ajira zake ni wapi haswa? hata mshahara wake. .. Kwa diploma
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Samahani wakuu kwa yeyote anayejua connection jinsi ya kupata sponsor wa kufadhili kusoma Masters (Public Administration, political science, sociology, public policy) ndani ya nchi yetu hii naomba...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba msaada namna ya kufuata ili kuweza kutuma maombi ya ualimu ngazi ya cheti katika vyuo vya kiserikali. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Water Institute (WI) is fully registered by the National Council for Technical Education (NACTE) and its Programmes are fully accredited by NACTE.The Institute invites applications from qualified...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari.. Nauliza hivi mtu akijiunga na ordinary diploma ya C.O,pharmacy,lab tech na kupata gpa ya 3.0 na kuendelea?je akitaka kujiunga chuo anatumia kigezo kujiunga na degree kwa kuwa...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Kufungiwa kwa vyuo 19 naona iwe fundisho kwa wanafunzi walio vyuoni,, Hapa point yangu ni kwamba wajitahidi wa score higher marks as possible na wakati huo huo wajitahidi kupata knowledge...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
[emoji1]
1 Reactions
1 Replies
698 Views
Wakuu Habari, Naomba kujuzwa vyuo (vinavyotambulika na serikali) ambavyo vinafundisha mapishi ya nchi mbalimbali na pia vinatoa nafasi ya kwenda field. Kuna dada yangu anahitaji kwenda...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Habarini za kazi naomba kufahamiswa hivi MTU akimaliza diploma ya nursing anaruhusiwa kuunganisha degree yake pasipo kufanya kazi kwa muda yaaan uzoefu ama inakuaje kwa upande Wa afya
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Asalaam Aleykum walahmatullaah taallah wabaraqatuh! Moja kwa moja niende kwenye point Mimi ni mjasiriamali ila kuna shughuli nataka kupitia kufanya mashuleni na nilipenda kabla sijaenda mashuleni...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimejaribu kuapply kupitia NACTE OAVS bt option ya vyuo naona ni vya afya na ualimu tu na hela nimetuma 20 msaada plz
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu.. Hii course inadeal na nini na vipi kwa upande wa ajira...?ukimaliza unaweza kusoma course gani bachelor..?
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habarini wapendwa ni hvi nashidwa kufahamu nacte wanahitaji formati gani y number wanayotaka mtu aingize kabla y ku submit hyo form...kama kuna ambaye anajua anifahamishe
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…