Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Anasoma shahada ya Uhandisi wa mitambo(Mechanical engineering) lakini anataka aache na kwenda kusoma stashahada ya kilimo(diploma in general agriculture) au umwagiliaji(diploma in irrigation) kwa...
1 Reactions
31 Replies
8K Views
Mtu aliyepata shahada yenye GPA ya 3.5 ya Open yuko vizuri zaidi kuliko yule aliyepata GPA ya 3.5 vyuo vingine,? naomba kufahamu hilo!
1 Reactions
13 Replies
9K Views
Kati ya gamba (cheti) na elimu, ukiambiwa uchague moja, utachagua nini? Siku hizi walio wengi wameanza kuchagua elimu. Cheti kinakuwa ni kikolezo tu. Ndio maana walio wengi wanatekeleza kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TAARIFA MUHIMU KWA UMMA - NACTE
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu niliomba diploma ya ualimu kupitia NACTE, leo nimeangalia nimechaguliwa .Ninachoomba ni msaada kidogo wakuu kwa atakayeguswa maana niliyekuwa nategemea amepata matatzo. Naomba nisaidie hapo...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
mim naona huku field walimu wanapata shida sana elimu msingi maana take mini? Ufafanuzi unahitajika sana kuondoa mtafakuru maswali ni kama ifutavyo. je hakuna neno shule ya msingi? upimaji wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Karibu. Nguo inauzwa 10000/= huna pesa ukaenda kukopa kwa dada 5000/= na kaka 5000/= jumla 10000/= Ukaenda dukani ukaomba upunguziwe ukauziwa 9700/= ukabakiwa na 300/= Halafu ukaamua...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Samahanini jamani nauliza majina ya wanafunzi waliokosea kuomba mkopo mwaka huu tayari yameisha toka?
0 Reactions
12 Replies
22K Views
Habar zenu wakuu, nauza materials ya A-level kama ifuatavyo; Conceptual chemistry S.CHAND 1 & 2 (for class eleven & twelve), NEW UNDERSTAND OF BIOLOGY, BIOLOGICAL SCIENCE (BS)., Ngaiza series...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama uko kazini umebanwa na unakipato kidogo. Tunakukaribisha usome masters kwenye chuo chetu kipo Uganda Kinaitwa Uganda Technology and Management University kimesajiliwa na taasisi ya elimu za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama uko kazini umebanwa na unakipato kidogo. Tunakukaribisha usome masters kwenye chuo chetu kipo Uganda Kinaitwa Uganda Technology and Management University kimesajiliwa na taasisi ya elimu za...
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Kama uko kazini umebanwa na unakipato kidogo. Tunakukaribisha usome masters kwenye chuo chetu kipo Uganda Kinaitwa Uganda Technology and Management University kimesajiliwa na taasisi ya elimu za...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Tukiangalia huko tulikotoka elimu ilikua nafuu kwe viwango vya matokeo,lakini sasa ni shida kwa kweli. Kwa mfano kipindi cha nyuma ulikua ukipata THREE kuanzia ya 14-18 unaenda chuo kikuu lakini...
7 Reactions
96 Replies
10K Views
poleni kwa majukum, jamani naomba mnisaidie ufafanuzi, kati ya mtu anaesoma diploma ya clinic officer na diploma in nursing, napata utata kuelewa ni ipi nzuri kati ya hizo? ipi nyepesi kuisomea...
0 Reactions
60 Replies
25K Views
Pafomernce division 3 C chemistry C biology D physics D english F mathe D geography C kiswahili D history D civics [emoji120] [emoji120] msaada jaman
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa hapa Tanzania ni sehemu gani inapatikana elimu ya ufungaji madishi na antena? Na wahitimu kupewa vyeti kulingana na muda waliodumu masomoni! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Poleni na majukumu wakuu.. Naomba kuuliza kama selection za diploma chuo cha UDOM zimetoka. Natanguliza shukani zangu za dhati.. Ahsanteni kwa msaada wenu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani swali langu ni hili; Kwa mfano applicants wawili wakaomba kozi moja tuseme Electrical Engineering QUALIFICATIONS:: Applicant A: akawa ana Div I point 7 Phy-C Chem-A Math-C Applicant B...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu wale wenzangu mliosoma lutengano tujoin hapa kwa mastori ya wakati huo tupo shule,mimi nilimaliza form iv pale mwaka 2000 mkuu akiwa mzee MINGA,makamu wake MAMA MAHEMBE,discpline...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kama kuna boy yoyote kachaguliwa ardhi na amefanikiwa kupata hostel naomba anibebe tutasaidizana kulipa chumba.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…