Naomba kubebwa.

Naomba kubebwa.

ARUSO

Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
95
Reaction score
94
Kama kuna boy yoyote kachaguliwa ardhi na amefanikiwa kupata hostel naomba anibebe tutasaidizana kulipa chumba.
 
Jinsia please maelezo hayajitoshelezi
 
Hivi Ardhi wametoa selection..? maana kuna jamaa yangu anasubiri hzo selection
 
Back
Top Bottom