linah smile
Member
- Apr 4, 2017
- 84
- 57
Samahanini jamani nauliza majina ya wanafunzi waliokosea kuomba mkopo mwaka huu tayari yameisha toka?
Watasema kuvuja kwa pakacha ni nafuu ya mchukuziMWAKA HUU WALISEMA HAWATATOA MAJINA YA WALIOKOSEA
Kwasasa hakuna majina ,angalia account/profile yako utaona kama umechaguliwaNauliza majina ya degree yametoka ? Msaada
Samahanini jamani nauliza majina ya wanafunzi waliokosea kuomba mkopo mwaka huu tayari yameisha toka?
mpaka tarehe 2/10/2017 mkuuNauliza majina ya degree yametoka ? Msaada