Lutengano High School

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,320
6,677
wakuu wale wenzangu mliosoma lutengano tujoin hapa kwa mastori ya wakati huo tupo shule,mimi nilimaliza form iv pale mwaka 2000 mkuu akiwa mzee MINGA,makamu wake MAMA MAHEMBE,discpline MWAFULILWA,wewe ulimaliza mwaka gani?
 
Mimi nilimaliza 2006, mkuu akiwa mama Mahembe makamu, Mwafulilwa, discpline Kibona, taaluma …… da nimemsahau but maarufu kama baba shuku, mhasibu, mwanjuni na Secretary mama mwaisunga
 
Baba shuku ni Charles lupemba..
 
Dah nmewakumbuka mama mahembe mwafulilwa kibona, Charles lupemba, mwakabejela mwaisunga a.k.a morinho, jayjay chaps, Hussein, zingu ,

Naikumbuka kipwera kule mpaka kisondela nmekunywa sana ulanzi
 
wakuu wale wenzangu mliosoma lutengano tujoin hapa kwa mastori ya wakati huo tupo shule,mimi nilimaliza form iv pale mwaka 2000 mkuu akiwa mzee MINGA,makamu wake MAMA MAHEMBE,discpline MWAFULILWA,wewe ulimaliza mwaka gani?
2009 kipindi mkuu j mahembe
 
Dah nmewakumbuka mama mahembe mwafulilwa kibona, Charles lupemba, mwakabejela mwaisunga a.k.a morinho, jayjay chaps, Hussein, zingu ,

Naikumbuka kipwera kule mpaka kisondela nmekunywa sana ulanzi
Zingu alifariki kitambo sana
 
Lupemba Charles enzi hizo lutengano anaitwa degree uchi haaaahahaha!!!alikuwaga kilaza hadi wanafunzi wa A-level wakampachika hilo jina
93961b72f194f3cdd4704b21c1e5be0c.jpg
 
Back
Top Bottom