METALFULBRICATOR
Senior Member
- Sep 1, 2015
- 131
- 29
Anasoma shahada ya Uhandisi wa mitambo(Mechanical engineering) lakini anataka aache na kwenda kusoma stashahada ya kilimo(diploma in general agriculture) au umwagiliaji(diploma in irrigation) kwa ajiri ya urahisi wa ajira na kujiajiri. Lakini kabla hajachukua hatua ya maamuzi ameniomba nimshauri,nami nikaliona kuwa ni zito,ndiyo maana nimelileta hapa jamvini lijadiliwe. Karibuni.