Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha IFM, ningependa kujua yafwatayo kiundani yaani faida na changamoto za hili hapo chini-: Kupanga chumba na kukaa hostel kupi ni bora zaidi...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Jaman naomben ushauri nimechaguliwa UDSM lakin coz cjaipenda lakin ndoto ilikuwa n kuchaguliwa UDSM pia nimechaguliwa ardh coz nimeipenda lakin cjapenda kusomea hyo coz hapo.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza mwaka huu inawezekana kuhama course na chuo yani nataka kuhama kutoka forestry sua kuhamia wildlife and conservation udsm kwa anayezijua procedure anijuze.....
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuja kuliweka sawa hili baada ya kuona mkiitwa vilaza.Tambueni nyie sio vilaza kama mnavyoitwa na wengine ila wajibuni tu kuwa nyie ni vilaza Kwa courses mlizochagua awamu ya kwanza. Hivyo...
1 Reactions
3 Replies
930 Views
Baraza la mitihani la taifa sasa limetangaza matokeo ya mtihani wa taifa darasa la saba mwaka 2017 ,bofya link (maandishi ya bluu) kuyatazama matokeo MATOKEO YA DARASA LA SABA BOFYA HAPO CHINI...
1 Reactions
5 Replies
63K Views
Namba mwenye joinning instruction yabudom please chapnkuna dgo ananisumbua hapa anaitaka
0 Reactions
3 Replies
874 Views
Mwenye link ambayo ina joinning instruction ya udom aweke
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Msaada plz. Kuhama chuo cha government kwa walio chaguliwa na nacte diploma talatibu za kufata ni zipi..? Na Lin wataluhusu kuhama? Msaada plz wakuu!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tukiwa tunasubiri joining instruction tupeane mawili matatu kwa wote tuliochaguliwa hapo na hata pia wazoefu wa chuo hicho waliowah kusoma. Binafsi mimi nimechaguliwa diploma ya medical...
0 Reactions
50 Replies
10K Views
Wakuu kwa wale tunaopenda kujua graphic designing tukutane hapa..Mimi binafsi napenda sana kuijua hii kitu kwani inaweza nisaidia kujiajiri...wale magwiji wa graphic designing tukutane hapa...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Ili tupeane update za hii koz yet changamoto ya ajira zake na kadhalka
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wanajamvi naomba msaada kwa mwenye course structure ya PhD in Molecular Biosciences (PhD by course and dissertation)
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari! Samahani naomba kuuliza kama kuna mtu anafahamu chuo kinachotoa mafunzo ya sheria ngazi ya cheti kwa elimu ya masafa au distance learning as open university! Ahsante
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Matokeo ya shule za msingi yametoka huku shule za msingi toka mkoa wa Singida zikiongoza kwa kufanya vibaya katika matokeo hayo. Kwa kifupi ni mkoa ambao umeshika mkia katika ufaulu. Hongereni...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
URL
0 Reactions
4 Replies
947 Views
Habar za muda huu...??? Nina mdogo wangu kachaguliwa kozi hizi sasa hapo anahitajika a confirm moja tu ili akasome Nimeleta kwenu wakuu ili mnijuze hapo akasome kozi ipi kati ya Bsc of human...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habar za kwenu wadau naomben ushauri juu ya I coz nilio chaguliwa katka chuo cha udom ,,mawazo yenu yana manufaa kwangu
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wananzengo kwa wale waliopita MKWAWA sekondari,hasa waliokuwa darasa la mwisho,tukumbushane interesting stories za kunzia tukiwa pale 2003-2005 ambapo sekondari ilifutwa rasmi.Baadhi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Qt
Mi binafsi naomba kuuliza hiii elim ya qt ikoje na katka mfumo upi na mitihan yake inatoka Kam ya kawaid au?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…