Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

Ajax Ace

Member
May 28, 2017
50
22
Tukiwa tunasubiri joining instruction tupeane mawili matatu kwa wote tuliochaguliwa hapo na hata pia wazoefu wa chuo hicho waliowah kusoma.

Binafsi mimi nimechaguliwa diploma ya medical laboratory science but sijajua kuhusu mambo ya joining instruction pamoja na admission letter napataje maana nilienda wakaniambia nitaletewa message lakini mpak leo naona kimya. Nafikiri watakua kwenye process ya kuziandaa.
Nawasilisha
 
Safi jiandae kula msuli tu kijana ..maana shule ya pale si haba
 
Andaa nguvu za msuli mrefu, elimu ya Afya haihitaji mchezo.

Kila la kheri
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tukiwa tunasubiri joining instruction tupeane mawili matatu kwa wote tuliochaguliwa hapo na hata pia wazoefu wa chuo hicho waliowah kusoma.....
.....Binafsi mm nmechaguliwa diploma ya medical laboratory science but sijajua kuhusu mambo ya joining instruction pamoja na admission letter napataje mana nilienda wakaniambia ntaletewa message lakn mpak leo naona kimya.... .Nafikiri watakua kwenye process ya kuziandaa.
Nawasilisha
Hongera kwa kuchaguliwa chuo kikuu bora cha afya Tanzania

Kuhusu Admission leter kwa sasa wew bado hujachaguliwa rasmi Muhimbili mpaka jina lako litakapopitishwa na senate ya chuo...ndio mana unaona ata kwenye website ya MUHAS majina hayapo..senate ita release majina yote na wale wa Degree na Admission letter ndo zitakuw zimetoka

Unapofika muhimbili shika haya
Ukipata SUP 3 katika mwaka mmoja wa masomo Umedisco hata kama una first class gpa
Ushirikiano na wenzio kitu cha muhimu ukijifanya unakomaa mwenyew itakula kwako

Uvivu mwiko unavipindi vya darasani,practical na clinical rotations

Kama una swali uliza...
 
Asante sana kiongoz kwa ushauri ila nachouliza ni kuwa........kwan waweza kuwa umechaguliwa na jina lako lisiwe released baada ya kukaguliwa na hao senate ama........maana umenishtua kidogo uliposema bado sijachaguliwa muhimbili..
Nahitahi ufafanuzi kidogo hapo mkuu!!!!
 
Inatokeaga lakini kama umeshapenya competition ya nacte basi ushapata toa hofu
 
Back
Top Bottom