MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,776
- 2,556
Wakuu kwa wale tunaopenda kujua graphic designing tukutane hapa..Mimi binafsi napenda sana kuijua hii kitu kwani inaweza nisaidia kujiajiri...wale magwiji wa graphic designing tukutane hapa tupeane maufundi namna ya kuanza kujifunza hii kitu na kama mtu ana materials anaweza kutupia hapa ili sisi tusiojua tuanze kujifunza