Darasa la Mwisho Kufunga MKWAWA sekondari Iringa

MR.NOMA

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
234
250
Wananzengo kwa wale waliopita MKWAWA sekondari,hasa waliokuwa darasa la mwisho,tukumbushane interesting stories za kunzia tukiwa pale 2003-2005 ambapo sekondari ilifutwa rasmi.Baadhi ninayoyakumbuka mimi ni:-Uwepo wa kijiwe kiitwacho love square ambacho kilikuwa maalumu kwa ajili ya kutongozeane, Kuvuma kwa jina maarufu la chapati dadaz wale mabinti waliokuwa wanaenda kujiuza usiku twn na wakirudi alfajiri wamebeba chapati tu, Kupigwa kwa disco kubwa multipurpose siku tukiagana na form 5 waliokuwa wakuhamishwa shule lakini disco lilizimwa ghafla saa 6 usiku baada ya mwalimu wa nidhamu Mr makwaya kubaini watu wakibambiana, Kuwepo kwa mdada maarufu aliyekuwa akiwauza wasichana warembo kwa ma pedeshee na ye kula cha juu,kuwepo kwa kundi la mapaster watoa mapepo ambao waliwatoa sana wanafunzi wa kike na mradi wao uliharibika pale walipoenda usiku kuiombea nyumba ya headmaster kwa madai kuwa ina mapepo.Nadhani hawatasahau asubuhi walichezea bakora tukiwa pared, pia kuibuka kwa kikundi cha vijana wachache wenye msimamo mkali wa dini ya kiislamu ambao waliwacharaza bakora wakristo kadhaa kwa kosa la kuwasalimia kwa kuwashika mikono mabinti waislam, Kuwepo kwa mwalimu mwenye vituko aliyependa sifa na alivaa suti kila Mara huyu aliitwa Tozi na alimuuliza maswali magumu Waziri wa Elimu alipokuja kutangaza kuhamisha fomu five wote na fomu six tukimaliza shule iwe CHUO,...............haya wanakoplex njoeni muongezee
 

DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,278
2,000
vituko vya shule za boarding za zamani vingi vinafanana.....nyie mlikuwa na love square sisi tulikuwa na 'majungu place', yaaani ukikaa hapo utajua nani alitoroka usiku karudi asubuhi, nani katembea na mwalimu nani (tulikuwa hatuna boys) n.k.
 

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,452
2,000
Dah! Ninyi vijana tuliwaachia complex ikiwa maridadi kweli. Kumbe mkaanza "ushaitwani"? Mwaka 1998 - 2000 complex yote tulikuwa" watakatifu "mnoo! Fantamagorias oyeee!
 

Ohooo

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
807
1,000
Toka mkwa wale form five waliletwa pale njombe secondary school na kilichomkuta headmaster aliyetoka mkwawa Mr. Mbao nadhani hakukisahau
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom