Kuna wazazi walijiwekea utaratibu wao wa kuchangishana Hela kwa ajili ya CHAKULA kwa watoto wao, Ila baada ya tamko hilo wameacha Kuchangia kwa kusema Raisi amekataza.
Kuna wazazi walijiwekea...
Why Should Teams Build
Their Emotional Intelligence?
No one would dispute the importance of making teams
work more effectively. But most research about how to
do so has focused on identifying the...
LESSON; NGUVU ILIYOJIFICHA NYUMA YA KITENDO CHA KUTENGA MUDA WA KUWA PEKE YAKO (ALONENESS).
Ni siku nyingine tena mwalimu anakualika kuendelea kupata chakula cha akili, ni imani ya mwalimu kuwa u...
Wakubwa shikamooni, vijana wenzangu habari zenu
Mimi nahitaji kusoma Air Traffic Controller Certificate ama dispatcher certificate hapa Tanzania.
Naomba mwenye ufahamu anisaidie ni college ipi...
Wanajamii naombeni msaada wenu nifanyenini ili nifanye vizuri katika mtihani wangu wa kidato cha sita niko kombi ya PCB na apa. Kichwani sina kitu saa nifanye nini ili nipate ata division three
Kuna application zimetoka mahali sa jamaa yangu anataka kuapply ila anashidwa sbb ya cheti chake cha form 4 kimepotea.ila vya form six,chuo vyote vipo na qualifications nyingine pia .ivi inakuaje...
Mtoto wangu alifanya vibaya mtihani wa kidato cha nne , sasa yupo anajipanga kufanya mtihani kama private candidate, masomo atakayorudia ni History, Geography, Kiswahili na Civics, nataka...
We kijana mbona unasumbua sana watoto wa watu, sasa hivi umewafelisha makusudi. Mbona huna utu roho mbaya imekujaa, unadhani wazazi wanapata wapi ada za mchezo? Badilika.
Huyu mwalimu ni wa chuo...
Kama unafam mambo haya naomba unijize.
Hivi inawezekana kijana raia wa Kenya anaesoma shule ya serekali nchini Kenya kupata uhamisho na kuja kusoma shule ya serekali hapa Yanzania?
Kama mdivyo...
Kuna kuchanganya mambo elimu bure mwisho ni Form Four
Media zisisahau hiki kipengele wazaz wana raha kutolipia lakn wasisahau sheria na matamko.
Wapitie daftari na mazoezi ya watoto wetu...
Habari bandugu ?
I hope mko poa kabisa na mnaendelea na majukumu yenu km kawaida, anyway nisiwachoshe sana niende moja kwa moja kwenye hii issue ambayo mpk sasa inaniumiza kichwa sababu nimekuwa...
Habari za jioni wana JF.
Poleni sana na pilika pilika za kutwa nzima za kutafuta riziki.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba kwa yeyote anayejua chuo cha Kiislamu jijini Dar es Salaam...