Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Mtoto wangu alifanya vibaya mtihani wa kidato cha nne , sasa yupo anajipanga kufanya mtihani kama private candidate, masomo atakayorudia ni History, Geography, Kiswahili na Civics, nataka nimunulie vitabu wakati wa likizo hii ajisomee na akiwa shuleni vimsaidie pia, ni vitabu gani vizuri vitamfaa?