Habari!
Mimi in mhitimu wa kidato cha sita 2018 na nimefanikiwa kupata 1.7
G/Studies E
BAM E
Economics D
Commerce A
Accountancy B
sasa napenda kuuliza je naweza kupata course ya Bcom in Accounting...
Elimu ya Chuo Kikuu ni moja ya malengo ya wanafunzi wengi shuleni ambayo pia huhesabiwa kama moja ya kilele muhimu cha safari ya kielimu. Nchini Tanzania elimu imeganyika katika mtindo wa elimu ya...
VIjana mlio maliza form six au pre first year karibuni chuo chetu ni kizuri sana japo ukija na moyo wako mwepesi tunaeza kuzika kabla ya muda wako
Karibu chuo chetu unaeza ukaamua kusoma au...
THE DOG IN KIVULU by Ralph Bitamazire.
The dog in Kivulu,
Thin, bony and yawning;
The dog in Kivulu,
Panting and squatting
Like its master.
The dog in Kivulu,
Barking at naked children,
Children...
Kuna mdau wangu anasoma TIA mbeya kaniambia amedisco sasa kachanganyikiwa balaa mana 1st semester kafeli masomo mawili kat ya matano na GPA 1.5, 2nd semester kafel masomo matatu kat ya matano na...
Habarini wote.
Naomba kwa wale watakaoguswa wanisaidie ushauri. Kuna mtoto wa jirani yangu kapata nafasi ya kwenda kwenye vyuo viwili. Kapata Dar es Salaam Institute of Technology kozi ya...
Jamani wapendwa naombeni mnisaidie kujua tofauti ya courses hizo za afya kwa ngazi ya diploma
*Ordinary diploma in clinical medicine
*Ordinary diploma in pharmaceutical sciences
*Ordinary diploma...
Nilifanya application ya vyuo nikafika hadi mwisho wa admission process ila nimesahau pasword nikaingiza user name,m pesa verification code,namba ya sim niliyotumia na email ili kupata pasword...
jamani ndugu zangu naomba mnisaidie kuna ndugu yangu anataka kusomea software engineer je ili akasomee course hiyo anatakiwa afaulu masomo yapi ili aqualify kusomea kozi hiyo na vyuo gani vizuri...
Jamani please naulizia jinsi ambavyo naweza kumpata mdhamini wa kunisaidia kupata degree yangu ya pili..kiuchumi siko vizuri na Niko third year but I'm so eager to proceed with higher studies...
Mie nilisomaga community healthy ila baada ya kuona haina issue mwaka huu nimeomba clinical assistant yaan CA chuo cha maswa clinical office
Qualification zangu ni
Physics D
Chemistry C
Biology B...
Habari wadau wa JF,naomba kujuzwa juu ya iyo bachelor degree ya falcut tajwa apo juu interms of its contents, good varsity/college to take t,pia fulsa zake,Unaweza fanya kazi wapi(means...
Waungwana Mabibi na Mabwana, naomba sana kwa yeyote anayeweza anisaidie kupata kitabu kiitwacho Kesi ya Uhaini kilichoandikwa na Mnenge Suluja mwaka 1985.
Natanguliza shukrani zangu za dhati...