Naombeni ushauri kuhusu kozi ya software Engineering

carlos4050

Member
Jan 10, 2017
6
7
jamani ndugu zangu naomba mnisaidie kuna ndugu yangu anataka kusomea software engineer je ili akasomee course hiyo anatakiwa afaulu masomo yapi ili aqualify kusomea kozi hiyo na vyuo gani vizuri vinavyofundisha kozi hiyo asane
 
Husomi software engineer unasoma software engineering. Hii kozi inatolewa udom pekee kwa hapa tz, na wanataka mtu wa aliyesoma pure maths. Kama una ufaulu mzuri omba...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vp kwa mtu ambaye ana diploma ya computing and information technology lakini mathe ya o'level akufanya vizuri anaweza pokelewa UDOM
 
Back
Top Bottom