Sheria za kudisco chuo zikoje mwaka huu!?

Sheria za kudisco chuo zikoje mwaka huu!?

bafetimbi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
1,085
Reaction score
1,767
Kuna mdau wangu anasoma TIA mbeya kaniambia amedisco sasa kachanganyikiwa balaa mana 1st semester kafeli masomo mawili kat ya matano na GPA 1.5, 2nd semester kafel masomo matatu kat ya matano na GPA 0.7 me nildhan kudisco hadi ushindwe kufikisha 2.1
 
TIA wako hivi kuna masomo ya core subject ukifeli core subject una rudia mwaka ila wakaja wakaitoaga hii ukifeli core subject kurudia mwaka wakaitoa wakaweka tuu sheria ya sup kwaiyo ukifeli core subject unapiga sup bac na pia TIA pale kila semista wanamasomo matano inategemea na coz kwa coz za Public sector Account wanasoma masomo 6 na BBA ila coz nyingine wanasoma masomo Matano tuu kwaiyo sasa pale wana angalia sana kufeli kwa masomo yao yani ukipata sup masomo 3 ujue umedisco kwaiyo uyo rafiki yako ni halali yake kudisco mana kwanza ana gpa ndogo afu pia ana Sup masomo 3 hapo lazima adisco ila mzee kudisco TIA jau sana kile ni chuo chepesi sana kusomo uwezi feli pale ukifeli ww kilaza sana aisee..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Izo GPA ukitafta wastanu ata 1.7 haifiki
 
Back
Top Bottom