wakuu nilimuombea mdogo angu vyuo viwili na amefanikiwa kupata DIT na ATC lakini mpaka sasa sijapokea code kwa ajili ya kuthibitisha chuo kimoja wapo nafanyaje katika hili na nipo nje ya DSM...
Naimani kna watu wana experience na masomo ya arts na wengine wamesoma ayo lkn nauliza kwa mwanafunzi aliye soma HKL ni kozi gani nzur ya kusoma yenye soko TANZANIA na vyuo vzr vyeny kutoa hizo kozi??
Katibu mkuu wa baraza la mitihani Tanzania Dr
Msonde amesema kuwa kuanzia mwaka huu mitihani ya darasa la saba nchini itakuwa na maswali 40 ya kuchagua pamoja na maswali matano ambayo siyo ya...
Jamani hali si hali hatujui cha kufanya na muda ndo hivo tena na si ajabu kesho tukasikie mengine ya kutuumiza wadahiliwa ambao hatujapata hizo code zao. Sasa kwa nini walioko karibu na hizo ofisi...
kama kawaida yao tcu wamepuyanga kwa mara nyingine mdogo wangu jina halikuja kwa wenye multiple selections ila amechaguliwa vyuo viwili N.I.T na SAUT mwanza sasa hapa hajui afanye nin maana hata...
Hivi haya majina yana yo sambaa mitandaoni mbona kinachoandikwa ni tofauti na kichwa cha habari maana ukifungua link unaambiwa haya ndio majina ya walichaguliwa labla mfano SUA lakini ukifungua...
Huu ni uzi maalum kabisa kwa Wanafunzi wanaoendelea na masomo(Continuing students) na wale Wanafunzi wapya waliochaguliwa (First year students) kuweza kujuzana kuhusu taarifa na mambo mbalimbali...
Nina Dv. 2 pointv 12 DDD je naweza kuchaguliwa UDSM kwa facult ya Bachelor of arts Law Enforcement? maana ndio lilikuwa chaguo langu la kwanza kwa udsm?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau naomba mnisaidie majina ya shule nzuri za girls kwenye hyo mikoa tajwa hapo juu, nina mwanangu nataka nimepeleke moja ya hyo mikoa kwa in urahisi wa maisha ya familia
Wasalam wakuu...
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza UDSM hapo, semister iliyopita nilipata CARRY moja na semister ya pili nina CARRY moja na matokeo yangu yameshikiliwa kwa kuwa nilikua...
Ukiangalia kwa angle flani unaweza ona hili swala la TCU na hizo "code" za watoto waliodahili vyuoni ni la maksudi ili tu kuonyesha haya maswala ya mamitandao hayafai najua jinsi watu walivyokuwa...