Msaada: Mpaka sasa sijapata code kutoka TCU

Msaada: Mpaka sasa sijapata code kutoka TCU

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,644
Reaction score
3,328
wakuu nilimuombea mdogo angu vyuo viwili na amefanikiwa kupata DIT na ATC lakini mpaka sasa sijapokea code kwa ajili ya kuthibitisha chuo kimoja wapo nafanyaje katika hili na nipo nje ya DSM nikimuagiza MTU TCU anaeza patiwa msaada katika hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dogo muda si rafiki, wapigie tu kuokoa muda
 
Code bado ni siri ya TCU, nao wako kimya-tusubiri tu.
 
kizazi cha sasa waoga. walipaswa kesho wajae TCU fasta. ndalichako yupo?
 
wakuu nilimuombea mdogo angu vyuo viwili na amefanikiwa kupata DIT na ATC lakini mpaka sasa sijapokea code kwa ajili ya kuthibitisha chuo kimoja wapo nafanyaje katika hili na nipo nje ya DSM nikimuagiza MTU TCU anaeza patiwa msaada katika hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi hawajapewa hiyo code but kesho naona wataitoa,kwa sababu mwisho wa kuconfirm ni kabla ya tarehe 6
 
Mrejesho:nimefanikiwa kutUmiwa code jana saa tatu usiku,lakini mpaka sasa imegoma kwenye swala zima la kuthibitisha chuo.
 
Back
Top Bottom