mpeleke Cagrielo iringa
Ana uwezo wa wastani, st. Francis competition ni kubwa
Ana uwezo wa wastani, st. Francis competition ni kubwa
Mperekee Brooke Bond ni primary n secondary school mtt atatokaaa ameivaa vzr mimi mdogo wngu kasoma pale kuanzia std 2 November hii ndioo anafanya mitian ya ku graduate form four iko mufindiii wanajal watoto na iko porin kamwe mwanaooo hawez kua mpgaj kwa maana iko mistun na hatojuaaa yanayoendeleaa dunian mpakaaa holiday na holiday ila unakua na mawasiliano nae via walimu na matrons wao