Wewe nenda kashone suti kali kimodo ujiite lawyer. Pasua miaka yako minne meza ma Latin maxim kibao ukirudi uraiani utapata makesi mengi upige ela balaa!!, si unaiona nchi yenyewe hii ni full mafursa.
(Kwani umechukia dogo?)
Jus kidding learnt Bro!,
Sent using akili yangu