Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba mwenye link ya majina ya walopangiwa form one katika wilaya ya bumbuli mkoani tanga anisaidie
1 Reactions
10 Replies
3K Views
hivi bodi ya mikopo wana mpango gani kuhusu continous walioomba mkopo kwa mwaka huuu maaana hawaja toa batch ya continous mpaka sasa hali iliyopelekea wengine kushindwa kurudi vyuoni.....kwanni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau nahitaji materials ya Literature in English O-level. Nimepangiwa kufundisha hilo somo ambalo limekuwa introduced for the first time hapa shuleni! Mwenye uzoefu yeyote anaeza nisaidia...
1 Reactions
51 Replies
17K Views
Habari za mida hii wanajukwaa....... Kama kichwa cha habari kinavojieleza naombeni mwenye majina waliochaguliwa kujiunga VETA nikiwa na maana wanaotakiwa kuripot 2019, Me tatizo linakuja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Topic nimesahau inaitwaje. Msaada wakuu.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
hey guys kuna mdogo wangu yupo first year udsm anachukua science general (microbiology and botany)kazi zipo vipi apo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF. Naomba kwa wale ambao wamemalizia pugu boyz au minaki kwa miaka hii ya karibuni frm 2016 -..... Mnipe background ya hizo schools in terms of schoolo life daily routine to academic...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ya mda huu wana jukwaa la elimu. Kama mada inavyo jieleza hapo juu, naomba kupata msaada wa soft copy ya vitabu vya GEOGRAPHY kwa a'level. Alseneta sir.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuna hii kitu wanasema dunia ina mizunguko miwili 1.rotation[rotates on its own axis] 2.revolution[revolves around the earth via eliptical orbit] Sasa swali ni je mizunguko yote hiyo inatokea kwa...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
lugha ya kiingereza ilisanifishwa mwaka gana na ni zip lahaja nyengine zilizokuwepo hoko uingereza
0 Reactions
3 Replies
985 Views
Jamani nauliza kuna jamaa yangu akusoma diploma akafanikiwa kujiunga Barchelor sasa yuko mwaka wa tatu ila chuo chake kilitoka kwenye orodha ya kusitishiwa udahili je anaweza kuathirika kwenye...
0 Reactions
2 Replies
961 Views
Wakuu. Kuna mtoto wa sister anasoma shule ya mbali na anapoishi (alipangiwa huko) sasa tunataka kumuamisha. Yaani kutoka shule ya serikali na kwenda shule ya serika. Mwenye uzoefu au msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu...nina mdogo wangu amemaliza chuo degree mwaka juzi na alipokuwa chuo alipata mkopo under HESLB Dogo alisoma course ambayo haina market nzuri ameona arudi achukue diploma kwenye...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Wakuu natafuta mwalimu wa sekondari wa kubadilishana naye. Niko halmashauri ya Bagamoyo,hapa Mapinga,nataka kuhamia Moshi mjini. Tafadhali nipm km ni mhusika ai inamjua mtu anayetaka kutoka Moshi...
0 Reactions
1 Replies
863 Views
bodi ya mkopo yatoa majina ya wanafunzi walioappeal kwa mwaka wa masomo 2018/2019 na tayari baadhi ya vyuo washapelekewa majina ya wanafunzi kama udzm
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Kuna mdogo wangu amejiunga na BSc Petroleum Chemistry UDSM, mwaka huu, kila siku amekua akini pigia simu kuwa anataka kuacha kusoma hiyo kozi, apply kozi nyingine mwakani. Wadau nyie mnashauri...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Je mtu mwenye BSc Physics, BSc Mathematics or BSc Chemistry + PCM anaweza kusomea BSc Medicine au Pharmacy au Health Laboratory?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
naomba misaidie swala langu kama hili. lugha ya kiingereza ilisanifishwa mwaka gani na wakulikuwa na lahaja gani nyengne huko uingereza?
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Mimi ni mwanafunzi hapo UDSM mwaka wa kwanza kwa bahati mbaya matokeo yangu hayakua mazuri kwa sababu mbalimbali kwaiyo nimedsco. Nilikua naomba msaada wa mawazo wanabodi... 1. Je...
3 Reactions
82 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…