Msaada wa namna ya kupata majina ya waliochaguliwa kidato cha kwanza Mkoa wa MANYARA 2018

Jaman me naomba mwenye ya haya majina anisaidie,
Maana kila nnayopewa naona cfiki nnapotaka tu
 
Wakuu nilikuwa nahitaji majina ya Morogoro na wilaya zake....ila viongozi hawajui hata maanda ya mitandao ni nini...hadi sasa record not found

Kama kuna mmoja wetu anayo please I am in needy jamani
 
Back
Top Bottom