TANZANIA NCHIYANGU
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 633
- 805
Wakuu habari zenu...nina mdogo wangu amemaliza chuo degree mwaka juzi na alipokuwa chuo alipata mkopo under HESLB
Dogo alisoma course ambayo haina market nzuri ameona arudi achukue diploma kwenye technical college yoyote kati ya DIT,MUST OR ATC
sa wakuu naombeni nisaidie utaratibu wa kuwa sponsored na serikali kwenye hizo course za diploma kwenye hizo technical college ukoje na je dogo anaweza pata hizo sponsorship sababu nimeona wanaopata hizo sponsorship gharama zao za ada chuoni zinakuwa ndogo kuliko wale wa under private sponsorship...na je sifa za kupata government sponsorship ni zipi???nitafurahi endapo mtanisaidia na kunipa mawazo yenu kwenye hili swala