Naomba kufahamu kuhusu shule za Pugu boys au Minaki

texaz mc

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
371
203
Habari wana JF.
Naomba kwa wale ambao wamemalizia pugu boyz au minaki kwa miaka hii ya karibuni frm 2016 -..... Mnipe background ya hizo schools in terms of schoolo life daily routine to academic issues na ipi ni bora kuizidi yenzake?
KARIBUNI.
 
Nlimaliza 2015 advanced level Pugu sec ila now days ufaul umekuwa wa kawaida sana na mazingira itategemea na ww mwanafunzi.Adha kubwa ilikuwa maji ila nafikir wamelitatua mengine ni kawaida tu.
Kwasabab walim ni wengi sana na maabara za kutosha.
 
duh nilimaliza A level 2010 pugu, ngoja niwapishe wajuzi juzi waje
 
Back
Top Bottom