Future ya Petroleum Chemistry Tanzania ikoje?

Future ya Petroleum Chemistry Tanzania ikoje?

Hashimu lwenje

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2017
Posts
415
Reaction score
361
Kuna mdogo wangu amejiunga na BSc Petroleum Chemistry UDSM, mwaka huu, kila siku amekua akini pigia simu kuwa anataka kuacha kusoma hiyo kozi, apply kozi nyingine mwakani. Wadau nyie mnashauri nini huyu dogo aache hii kozi au aendelee nayo?
Na je future ya hii kozi ikoje?
 
Aseh Ebu tafuta nyuzi za Ontario usome kuhusu hii kitu utaelewa zaidii
 
Hapa atajifanya kaulaaaa, asubir joto lake. Nafuu angesoma Electrical
 
Hamna kitu hapo boss.

Ukirudi kitaa utasugua benchi tu. Hakuna namna
 
Kuna mdogo wangu amejiunga na BSc Petroleum Chemistry UDSM, mwaka huu, kila siku amekua akini pigia simu kuwa anataka kuacha kusoma hiyo kozi, apply kozi nyingine mwakani. Wadau nyie mnashauri nini huyu dogo aache hii kozi au aendelee nayo?
Na je future ya hii kozi ikoje?
Kwa tanzania ya viwonder simshauri unless kama ana connection.

Kama apisoma pcm asome civil au electrical au mechanical...
 
Abadir bora aende civil anaweza otea miradi ya magufuli kwa miaka 7 ikiobaki dogo atakuwa mashagraduate huko aliko ajira hakuna tena zaidi ya hakuna graduate wa udom hiyo kozi wapo tu mtaani.
 
Back
Top Bottom