Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari za asubuhi wana JF, Niende moja kwa moja kwenye jambo langu. Siku kadhaa zilizopita nilijisajili na mfumo wa kuomba kozi mojawapo pale chuo kikuu huria. Nilikamilisha taratibu zote na...
1 Reactions
2 Replies
342 Views
Hivi inawezekana Avn number kama umeisahau ukaiomba tena upya?
1 Reactions
1 Replies
388 Views
Habari ,hivi mfamasia akiajiliwa serikalini bado anaruhusiwa kuitumia leseni yake kufungua na kusimamia famasi?
1 Reactions
3 Replies
378 Views
Hivi karibuni katika kuanza kwa mchakato wa udahili wa wanafunzi wa shahada mbalimbali katika Chuo kikuu cha sokoine( SUA) kumekuwa na mabadiliko kidogo ya uondoaji na uunganishwaji wabaadhi ya...
2 Reactions
3 Replies
629 Views
College, Institute, University Graduates, Watumishi wa Umma munawashauri Nini ndugu zetu wa form six wanaojiandaa kwenda Vyuoni? Ukizingatia Ufaulu wao ulivyo juu, Competition ya admission ya...
2 Reactions
0 Replies
296 Views
Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya kidato cha sita 2025, wanafunzi wamepokea taarifa hizo kwa hisia tofauti. Wapo waliopata matokeo mazuri, yakawapa nafasi ya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hizi shule za binafsi tusiziamini sana Kuna wakati zinapaa lkn upepo Huwa unabadilika haraka mno
7 Reactions
32 Replies
2K Views
S.chand of physics S .chand of chemistry Biological science Tie book bios Nipeni offa zenu nipo Mwanza
0 Reactions
2 Replies
246 Views
Kwa mfano,, ulifeli kozi moja mwaka wa kwanza ukaibeba ulipoibeba mwaka wa pili ukafeli tena! Vp una disco ama una recarry tena.?
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Naomba kujua hivi mwanafunzi akichaguliwa comb ya art (mchepuo wa sanaa) anaweza kufika shule akabadilisha akasoma comb ya sayansi (mchepuo wa sayansi) mfano amechaguliwa HGL akabadilisha akasome...
1 Reactions
4 Replies
354 Views
1. UTANGULIZI Katika historia ya binadamu, dini imekuwa na nafasi kubwa katika maisha ya watu—ikiwapa matumaini, maadili na mwongozo wa maisha. Lakini katika upande wa pili wa sarafu, dini pia...
3 Reactions
10 Replies
659 Views
Nilipata Chem C, Bios C, Phy D, Math D. Chuo cha tanzanian training centre for international health kilicho Ifakara ni kizuri kwa koz ya clinical optometry level NTA 4 TO 6
2 Reactions
9 Replies
555 Views
Kwanini chuo kikuu cha Dodoma hakichukui ambao hawakupita kidato cha sita kwa waliohitimu mafunzo ya stashahada ya ualimu elimu ya awali kwa kuchagua kozi nyingine za elimu
3 Reactions
7 Replies
781 Views
Anonymous
Naitwa Lutamila Malindi Ibrahim, mwanafunzi wa Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Nimesajiliwa kwa namba ya usajili: S3363.0137.2021. Ninaandika kwa uchungu na hofu kubwa...
0 Reactions
10 Replies
848 Views
Anonymous
Vyuo vingi nchini viliyo chini ya NACTEVET haswa hivi binafsi havitaki kutoa haki ya mtu kufuta usajili na kujiunga na chuo kingine. Serikali iingilie kati hili suala, watu wanakaa mtaani kwa...
1 Reactions
0 Replies
215 Views
Wakuu, wenye uzoefu wa elimu na maisha ya chuo msaada wenu kwa ushauri mtu alipiga diploma ya IT miaka mi3,,,heri aendlee degree au aende veta kusoma mambo mengine!?
2 Reactions
5 Replies
598 Views
Nipo Mbeya kuna mtoto wa ndugu yangu ana changamoto ya kuongea(bubu) nataka kufahamu shule ambayo inapokea watoto wa namna hii
2 Reactions
8 Replies
938 Views
Wakuu naomba mnitumie kitabu cha TCU chenye courses na maelekezo yake
0 Reactions
3 Replies
753 Views
Habari za majukumu, Naitaji kusoma degree ya Open University nahitaji kujua utaratibu wa namna ya kusoma kwa huo mfumo. Nini nikifanye na changamoto zipi zinaweza tokea katika hili! Asante
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari zenu wana jamii africa, naomba ufafanuzi juu ya hii course ya Bachelor of science in mechatronics engineering kwa wataalamu wa mambo hayo, wahitimu wa course hiyo hata wale ambao bado...
1 Reactions
2 Replies
713 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…