Habari zenu wakuu...? Namshukuru mungu nimepata selection ardhi morogoro ngazi ya diploma.. kwa wale waliochaguliwa tukutane hapa, hata wale wanaoendelea na masomo tupeane uzoefu wakuu....
Habari wadau wa elimu naomba niulize hivi hawa wafanyakazi wa serikali katika mizani mabarabarani wanasomea couse gan ?? Yan couse yao inatwaje navigezo vinavytumika kusoma?
Hicho chuo cha kawaida sana .
Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine.
Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine...
Hii ni maada maalum kwa Civil Engineers na hapa tutajadili kila kitu kuhusu ku design michoro ya structural mbalimbali ikiwemo majengo, barabara na madaraja pamoja na changamoto /uzoefu ulionao...
Cosmology ni sayansi ya Ulimwengu inayohususisha kuanza kwa ulimwengu kupitia theory ya Bing bang na vitu vyote vinavyojumuisha ndan yake kama Galaxies, Stars na planets (sayari) mbalimbali kwa...
habari, nimewaza nikaona uhitaji mkubwa wa walimu wa nje ya mkoa wa kilimanjaro wanaotaka wa kubadilishana nao ndani ya mkoa wa kilimanjaro, na waliopo ndani ya mkoa wa kilimanjaro wanataka kutoka...
Katika kepeleka gurudumu la maendeleo mbele,timu nzima ya AfroIT inatarajia kuanza kutoa lactures mbalimbali za fani kedekede live.Kwa kuanzia tutaanza na zile za ICT na...
Habari wana JF,
Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie taratibu za kufanya mitihani ya leseni kwa kozi ya famasi pia kama ana mitihani ya nyuma anisaidie[emoji2969]
Habarin wana jamvi natumain mko salama
Nilikua naomba kuuliza watu wanaosoma kozi ya ENVIRONMENTAL HEALTH HUA WANAAJIRIWA MAENEO ? NA KATIKA KAZI ZAO WANA SPECIFY NA NN HASWA_?
Nimekuta huu ujumbe sijui unamaanisha nini
"Due to unusual level of activity, responses are delayed, You are in service queue number . Customer with service number 69936 Is currently being...
Habari, Mimi ni binti wa miaka 23, nimemaliza Diploma ya clinical medicine, Niko mwanza, ninahitaji msaada wa maelekezo ya namna ya kupata ufadhili wa masomo au ufadhili kabisa wa kusomeshwa...
Habari wanaJF
Nimeamua kuanzisha uzi huu kwa ajili ya kuwakutanisha wadau wa elimu na wale wote ambao walipita shule ya sekondari ya ufundi tangu kuanzishwa kwake mnamo 1957 .
Lengo ni...
Habari JF.....
Naomba msaada naitaji kurudia mitihani mwakani na nilimaliza kitado cha 4 mwaka 2015 je itawezekana ku_ resit
Mwenye uwelewa pls msaada wake maana dawa hata sielewi ni anzie wapi.
Kama ulitaka kujua masomo ambayo yanafundishwa kwenye shule za international. Hapa ntakuonesha masomo yote na topics mbali mbali wanazojifunza. Ili wewe kama mwanafunzi ujue masomo ambayo...
MCHANGO WA UISLAMU KATIKA MAENDELEO YA MWANADAMU
Katika maelezo mafupi namna hii haiwezekani kuwepo kwa suala la kutaka kuorodhesha namna ambavyo utamaduni wa Kiislam ulivyochangia katika...
Hawa Mlimani Driving wanatoa Course ya Driving kwa bei Kubwa sana kulinganisha na Driving Course zingine
○Automatic wanatoa kwa 300k
○Manual Wanatoa kwa 270k
Serikali inatakiwa iangalie hivi...