UFADHILI WA MASOMO

UFADHILI WA MASOMO

THT

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
737
Reaction score
873
Habari, Mimi ni binti wa miaka 23, nimemaliza Diploma ya clinical medicine, Niko mwanza, ninahitaji msaada wa maelekezo ya namna ya kupata ufadhili wa masomo au ufadhili kabisa wa kusomeshwa nataman kujiendeleza kusomea Degree. Karibuni

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Safi sana dada yetu, kusoma Huwa hakuna mwisho. Kama alama zinakuruhisu kuendelea na Bachelor Of Medicine ningekushauri uchukue mkopo HESLB kwa Degree Huwa wanatoa. Kuhusu swala la udhamini ngoja wajuvi walete madini
 
  • Thanks
Reactions: THT
Habari, Mimi ni binti wa miaka 23, nimemaliza Diploma ya clinical medicine, Niko mwanza, ninahitaji msaada wa maelekezo ya namna ya kupata ufadhili wa masomo au ufadhili kabisa wa kusomeshwa nataman kujiendeleza kusomea Degree. Karibuni

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Option ambayo hautakutana na masharti magumu ni HESLB. Japo option hii unaweza kuifanya ya mwisho.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Habari, Mimi ni binti wa miaka 23, nimemaliza Diploma ya clinical medicine, Niko mwanza, ninahitaji msaada wa maelekezo ya namna ya kupata ufadhili wa masomo au ufadhili kabisa wa kusomeshwa nataman kujiendeleza kusomea Degree. Karibuni

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app

Jaribu kufatilia MO hua anatoaga ufadhili,fuatilia uone kama utakidh vigezo
 
Back
Top Bottom