nguzo1
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 355
- 582
Hii ni maada maalum kwa Civil Engineers na hapa tutajadili kila kitu kuhusu ku design michoro ya structural mbalimbali ikiwemo majengo, barabara na madaraja pamoja na changamoto /uzoefu ulionao kwenye kutumia hii software.
Pia vile vile tujadili mapungufu au utofautina na urahisi wa kutumia wa AUTOCAD na software nyingine za ku design ikiwemo.. master series, revit, roboti na archcad.
Mimi binafsi naipenda sana na huwa naituma mara nyingi ku design michoro ya nyumba za kawaida (residential house) pamoja na majengo ya gorofa nitaweka hapa baadhi ya michoro niliyoichora..... Kama una swali lolote kuhusu autocad niulize pia ruksa kwa wengine ku changia maada.
Nawasilisha