Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Anonymous
Serikali itambue kinachoendelea UDOM kuwa si haki, yaani gharama za kulipia Carryovers na SUP ni kubwa kuliko hata ada yenyewe. Imagine ma-lecture wanatucarrisha makusudi ili chuo kipate pesa...
1 Reactions
4 Replies
232 Views
Anonymous (54df)
Uongozi wa Shule ya Sekondari Mwalimu Nyerere analazimisha Wazazi tulipe hela ya suti Tsh 120,00 bila kikao cha Wazazi na bila ridhaa ya Wazazi na bila kujali kama tuna uwezo au lah. Uongozi...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Mimi ni mwanafunzi wa MSc in Data Science (UDSM). Kwa upande wa research, mambo yamekuwa magumu sana hadi nimeshindwa kumaliza kwa wakati. Kwa hiyo naangalia option ya kuhamia chuo kingine ili...
2 Reactions
2 Replies
252 Views
Kumekuwa na maswali mengi kuhusu ni lini Baraza la Mitihani litatangaza matokeo rasmi ya Kidato cha Nne 2025. Hata hivyo, taarifa rasmi zinaeleza kuwa Baraza hilo litaweka hadharani matokeo hayo...
1 Reactions
3 Replies
723 Views
Anonymous (54df)
Kuna kitu kimoja katika Chuo Cha DIT sikielewi. DIT Kuna Hostels ambazo wanaopangiwa ni government sponsored na First year nadhani. Sasa unaukuta Kuna hostels zimebaki ambazo wanatakiwa wapangiwe...
3 Reactions
8 Replies
244 Views
Anonymous
Tunaomba mamlaka zinazohusika kutatua suala hilo mana wapo watoto wanaotegemea hilo kujisomesha na inapotokea linachelewa ndo mwanzo wa kuingia katika vitendo visivyofaa. Pia wengine vipato vya...
1 Reactions
1 Replies
174 Views
Nielewesheni nielewe wakuu wangu.
7 Reactions
67 Replies
877 Views
Hii app inalipa kama ukifanya kazi zao kwa saa wanalipa 10usdc kujibu maswali yao kwa saa moja tu , kama kuna yeyote anafanya kazi hii naomba tushare mawazo NB; hii kazi lazima ujue kiingereza...
4 Reactions
13 Replies
318 Views
Habari zenu Mabro Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis Ili nikitoboa hili jalamba la Degree hapa niwe vyema kote kote...
9 Reactions
26 Replies
627 Views
Nina mtoto wangu wa kike,ana ndoto sana za kusoma Korea Kusini...Mwenye uelewa na uzoefu wa maisha ya Korea Kusini,anaweza kusaidia kujua maisha ya kule yapoje?Mfumo wao wa elimu je?Gharama ya...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Anonymous
Mimi ni mhitimu wa Degree wa Mwaka 2025 katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Main Branch Dar es Salaam, kero yangu ni mfumo mbovu ambao umesababisha Wanafunzi 37 kushindwa ku-graduate. Hii ni...
3 Reactions
5 Replies
338 Views
Anonymous
Naomba kutumia jukwaa hili kueleza changamoto kubwa zinazowakumba wanafunzi wa ngazi ya Masters katika Chuo cha IAA. Kwa masikitiko makubwa, namna wanafunzi wa Masters wanavyotendewa haiakisi...
2 Reactions
0 Replies
357 Views
Anonymous
Hapa chuoni Sua Kuna wanafunzi hasa wa first year wanateseka sanaa mpaka sasa hawapata pesa ya kujikimu huku loan officer akiwaambia wawe watulivu watapata pesa.
2 Reactions
6 Replies
290 Views
Muda mfupi baada ya kusambaa kwa andiko la Mdau akielezea tuhuma zinazohusu Chuo Kikuu Huria (OUT) kwamba kuna baadhi ya Wahitimu wamefoji matokeo na vyeti, ufafanuzi umetolewa na chuo hicho...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
December 15 2025, Serikali kupitia tovuti ya makao makuu Veta ilitoa orodha ya Vijana waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka 2026. Orodha ilibainisha jina la chuo alichochaguliwa...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Natumaini kila mmoja wetu hapa yupo na siku nzuri kabisa; Nimekuja kwenu asubuhi hii ili kuomba ushauri wa mambo ya kielimu; hasa kurudia mtihani wa kidato cha sita. Kitaaluma mimi ni...
3 Reactions
16 Replies
633 Views
Habari Wakuu.. Kuanzia kimara hadi mbezi kuelekea kibamba na ukanda huu wote wapi Kuna Library ya kusomea tafadhari .
4 Reactions
12 Replies
302 Views
Anonymous
Mkoa wa Kigoma, Jimbo la Kigoma Mjini – Wanafunzi waliokuwa wameanza kidato cha kwanza hivi karibuni katika Shule ya Sekondari Buhanda baadhi yao wamerudishwa nyumbani baada ya kushindwa kupeleka...
2 Reactions
11 Replies
493 Views
Wingu zito la sintofahamu limekikumba Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania) baada ya kuibuka kwa tuhuma nzito zinazodai kuwa zaidi ya wahitimu 300 wa mahafali ya 44 hawakupata matokeo yao...
2 Reactions
3 Replies
615 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…