Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Anonymous
Jamani mimi kama mdau wa elimu kuna suala nimeliona na naomba lifike kwa mamlaka husika. Ipo hivi baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera zinafundisha watoto kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
302 Views
Ilihali walimu wa degree wapo wengine shule ya msingi???
1 Reactions
3 Replies
201 Views
Je Chuo gani Zanzibar kinachotoa Degree ya saikolojia nimesoma HKL je nitakubaliwa mwenye experience naitai msaada
1 Reactions
0 Replies
109 Views
Anonymous (6ded)
Shule ya Sekondari Tarakea Iliyopo Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro ilikuwa ni moja ya shule bora sana, ilikuwa na ufaulu mzuri. Hivi karibuni imebadilisha uongozi, kumekuwa na tabia ya kuwapa...
0 Reactions
1 Replies
179 Views
Anonymous
Suala la uandikishaji wa darasa la Kwanza, Sera ya Elimu inasema mtoto ataanza shule akiwa na umri wa miaka 6, lakini shule nyingi za Mkoa wa Mbeya zinakataa kuandikisha Wanafunzi wenye miaka 6...
3 Reactions
9 Replies
394 Views
Anonymous
Kero yangu ipo kwenye mfumo wa chuo Cha elimu ya biashara (CBE) Upande wa account za wanafunzi toka mwezi wa 12 mpaka sasa mwezi wa pili mfumo unasumbua wahitimu tunashindwa kufanya maombi ya...
1 Reactions
2 Replies
228 Views
Serikali na taasisi zake kwanini wanafanya Mambo kienyeji Sana? Mfano shule zao za o level unapomwanzisha mtoto mahitaji yanakuwa kwenye fomu. Lakini akiwa ameanza mara mtoto atakwambia kuna...
1 Reactions
1 Replies
305 Views
Mfano eno lina 15m, 18m, 21m na 10m tafadhali wataalamu nipeni squre meter..
2 Reactions
14 Replies
369 Views
Anonymous
Serikali ilizindua mtaala mpya na ulioboreshwa wa mwaka 2023 ulioanza kutumika mwaka 2024 kwa baadhi ya shule na mwaka 2025 ulianza kutumika kwa shule zote za sekondari. Katika mtaala huu mpya...
2 Reactions
2 Replies
380 Views
Anonymous
Chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere Kampasi ya kivukoni, kigamboni haturejeshewi pesa zetu (refund) za ada zilizidi baada ya kupata mkopo kutoka HESLB na hatujui lini tutarejeshewa. Baadhi ya...
3 Reactions
3 Replies
251 Views
Anonymous
Ninayo heshima kuwasilisha kero yangu kuhusiana na ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za ada nilizolipa kabla ya kupata mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na...
1 Reactions
3 Replies
170 Views
Habari Wakuu.. Kuanzia kimara hadi mbezi kuelekea kibamba na ukanda huu wote wapi Kuna Library ya kusomea tafadhari .
2 Reactions
3 Replies
219 Views
WAZEEE WA KUNJI WA KARNE UDSM, KUNA WANAFUNZI WALIOANZA MWAKA WA MASOMO 2006 UDSM KWAKWELI HAWATASAHAULIKA KATIKA KUMBUKUMBU ZA CHUO HIKI. WALILETA MABADILIKO YA KILA NAMNA. MPAKA LEO KUNA WENZAO...
2 Reactions
118 Replies
36K Views
Sikiliza Maelezo kutoka kwa kamishina Kutoka necta mda akiulizwa swali na Naibu waziri wa Elimu Wanu Hafidh Mara baada ya kutembelea Necta Soma: PostGE2025 - Waziri Mkenda na Wanu, wasisitiza...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Kwenye kada za maendeleo ya jamii serikali wanaajili NTA level 4,5 na 6 Lakini kwa upande wa shahada za maendeleo ya jamii mara nyingi nafasi hizo hakuna. Kwasasa mimi nimemaliza shahada ya...
2 Reactions
2 Replies
245 Views
PhD au Doctor of Philosophy ni shahada ya mwisho kwenye fani. Hii ni tofauti na Pure hoax and dull Phd kama walizo nazo vilaza wetu walioibiwa pesa zao kuzinunua ilhali walikimbia umande. Ni hayo...
1 Reactions
2 Replies
201 Views
Wakuu, Kim Jeong-ja, mwenye umri wa miaka 85, alivutia wengi mwaka 2024 baada ya kuwa mtu mwenye umri mkubwa zaidi kufanya mtihani wa kitaifa wa kujiunga na chuo. Mwaka huu 2025 amehitimu na...
0 Reactions
2 Replies
175 Views
Anonymous
Mimi ni Muhimu Chuo Kikuu kutoka Chuo Cha Uhasibu Arusha 2025 KERO yangu ni Kuna baadhi ya wahitimu wakienda kuchukua vyeti vyao unakuta matokeo yaliyoandikwa kwenye TRANSCRIPT ni Tofauti na Yale...
2 Reactions
8 Replies
330 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…