Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Team ya wakufunzi wa mambo ya mafunzo mbalimbali kuhusu biashara, ujasiliamali, huduma kwa mteja, mbinu za kimasoko na namna ya kuanzisha miradi leo kuanzia saa 3 mpaka 11 jioni wapo hapa CHUO CHA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
angalia video kumsikiliza alichokisema ANGALIA VIDEO
1 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau naomba unisaidie kunipa mchanganuo wa gharama za kusoma Programme ya Executive MBA UDSM pamoja na ESAMI
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mimi ni kijana niliemaliza form 4 last yr na matokeo yamekuja nimefeli vibaya mno i dont know why naamini wa kulaumiwa ni serikali kwa kutosahiisha vizuri halafu wanasema wanaunda tume sasa tume...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
iv ni kwel wizara ya elimu wametoa majina ya shule zitakazoenda jkt kw awam ya pil mwez w 6
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu, Mambo sasa si shwari tena chuoni SAUT,mgombea wa kiti cha urais wa chuo aliyeshindwa bwana Peter Bega,amekata rufaa kupinga kutangazwa mshindi bwana Dovakamwene Mcheshi,aliyeibuka mshindi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ivi TCU inaeza kumchagua mtu mwenye' E ' flat yaan cut point ni 3!! kwa Bachelar of aarts with education ktk chuo hiki? nauliza ivyo coz Guide-book inaonyesha cut point kwa BAED ni 4 points...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Nimekutana na challange hizi, kwa anaezipata naomba msaada. 1. F(x)=2n, where n is all positive integers. hizo positive integers ni zipi? 2. Approximate 268032 to the nearest thousands. 3...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna mdogo wangu alimaliza kidato chat sita comb PCB with addition of two subjects BAM and GS. Matokeo yake alipata diivision 3 ya point 12 ambapo alipigwa penati ya kufeli BAM na GS. Sasa maswali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wana Jamii forum; hivi unaweza kunisaidia vyema kwa unaejua hii. Hivi mtu akiwa na diploma ya LABORATORY TECHNICIAN analipwa mshahara kiasi gani serikalini; pia na mtu mwenye BACHELOR IN LAB...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau katika pitapita yangu nimekutana jambo hili jema toka UDSM na ITV/Radio One, nikaona ni vyema kuwashirikisha wana JF. Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere kinayo furaha kuwafahamisha kuwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni mwaka wa nne huu Asasi za Uwezo na Tweweza zimekuwa zikifanya tathmini ya stadi kuu za kusoma na kuhesabu kwa lugh zote mbili za kiingereza na Kiswahili. Utafiti huu hufanywa na watu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana while natoka kazini,kuna jamaa aliniomba lift..ile nawasha gari AC na Radio vikawaka at per yaani huwa siswitch off nikizima gari,akaniambia naiua betry niwe naoff...nikatake ushauri leo...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Dear Applicants Welcome to the CAS operated by TCU and NACTE. You are getting this mail because your qualifications falls under Diploma and Equivalent category. Here are issues that you...
0 Reactions
1 Replies
14K Views
2013/14 Dr R J Colley Bursary for Research and Taught Postgraduate Level at University of Aberdeen, UK University of Aberdeen offers Dr R J Colley Research and Postgraduate Bursary in the all...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni pesa ya wanachuo waliohamia vyuo vingine toka chuo hicho! Kilichofanyika ni kwamba, pesa baada ya kufika chuoni kwao waliandika bank account fake na kisha ku-sign. Mbaya zaidi ni kwamba mtandao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kila sound driver nayoingiza hailet msaada.nisaidieniwana jamii
0 Reactions
6 Replies
1K Views
naomba msaada wa jinsi ya kuundaa cv yaani jinsi inavyokuwa coz cjawai aandaa!!mwenye kujua plzz ni pm!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni kinyang'anyilo cha Uchaguzi wa Serikali ya Ya Wanafunzi UDOSO. Kuna hekaheka kubwa na Mhemuko mkubwa wa huo Uchaguzi. Ni uchaguzi unaovuta hisia kubwa juu ya makundi yanayohasimiana chuoni...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Tetesi kutoka katika kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya waalimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000 na...
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Back
Top Bottom