Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Maswali ninayojiuliza katika sakata hili la kuongezeka kwa nauli ni mengi. Na mengine ni mazalia ya machungu ya adha na taabu wanazopata wanafunzi kwenye daladala. Hoja yangu ni Je haki za...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar znu ~Naomben kujua kuhc post za kidato cha tano kwa anaejua
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Maisha haya, sikio la kufa Tafakari sana, nimechukia sana:frusty:
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wakuu! mimi nataka nikachukue fani kati ya hizi hapa juu, naombeni ushauri ni ipi nzuri na rahisi kwa upande wa ajira kma nikifanikiwa kumaliza? natanguliza shukrani
0 Reactions
7 Replies
4K Views
kupata majina ya waalimu wa shahada, stashahada na wakufunzi wa vyuo bofya hapa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Pale ninapowaona kwenye kupitia luninga wakiilalamikia serikali kero mbali mbali wakati wakitafuta elimu – kero kama huduma duni vyuoni/mashuleni, ukosefu wa chakula cha kutosha, ukosefu wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba mnipe jibu la kitendawili hiki: Ni cheupe kama barafu na cheusi kama giza. Kuliwa ni HARAMU, kunywa ni HALALI. Hutumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na mara moja na wanawake katika maisha...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
mi mwalimu wa sekondari niko wilayani TUNDURU. natafuta mwalimu wa kubadilishana nae to mkoa wowote tanzania isipokuwa tanga, lindi, mtwara, dar na shinyanga. tuwasiliane kwa 0682136570
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Quotations make people think the world is over while it has just born. And you!!!! You have to work on a dream that one no any book can translate Sent from my BlackBerry using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau kama kuna walimu wenye habari juu ya kupanda madaraja atujuze..... tuliambiwa ni mwezi huu wa nne but hakuna hata barua... huko kwenu vp????
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Huku JF hasa "Jukwa La Elimu" ukisoma mada nyingi ni za kukejeli chuo cha UDSM, ningependa kujua ni vigezo gani mnatumia wakati chuo chetu kimeshika nafasi ya 6 kwa ubora hapa Africa?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu eti selection za wanafunzi watakao jiunga kidato cha tano 2013 zitatoka lini maana tumeshachoka maisha ya mtaani na kikubwa tujue tumechaguliwa michepuo gani kwa ajili ya TUTION
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimesikia kwa mdau mmoja kuwaa wanafunzi wa udsm na ardhi huwa eti wanajiuza mliman city unakuta wanazunguka hata hawana la kufanya na ukiwagusa unawapata fasta hivi nyie hamjasikia?
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Good evening i have phobia who can help me
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba mnipe jibu la kitendawili hiki: Ni cheupe kama barafu na cheusi kama giza. Kuliwa ni HARAMU, kunywa ni HALALI. Hutumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na mara moja na wanawake katika maisha...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
what are the impacts of ujamaa legacy in Tanzania?
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Ni baada ya machafuko yaliyotokea leo hatimaye chuo cha uhasibu Arusha kimefungwa kwa muda usiojulikana mpaka hapo bodi itakapokaa na kufanya maamuzi.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kama unahitaji msaada wa namna ya kuandika research proposal, literature review na dissertation tuwasiliane kwenye kwa private message.
1 Reactions
3 Replies
5K Views
jaman mwanafunz huyu anahitaji mwalimu wa tuition.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom