Kwa nini UDSM ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini UDSM ?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by king Chuga, Apr 25, 2013.

 1. king Chuga

  king Chuga JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 513
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Huku JF hasa "Jukwa La Elimu" ukisoma mada nyingi ni za kukejeli chuo cha UDSM, ningependa kujua ni vigezo gani mnatumia wakati chuo chetu kimeshika nafasi ya 6 kwa ubora hapa Africa?
   
 2. s

  spleen JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2013
  Joined: Apr 24, 2013
  Messages: 1,177
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  hapo kwenye red ndio swali la msingi lakini kwenye kijani hakuna mashiko, kwani chuo kua cha sita ndio kutakufanya utoke na first class?
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Apr 25, 2013
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 71,518
  Likes Received: 30,640
  Trophy Points: 280
  Nafasi ya sita kwa mujibu wa nani?

  Na ubora wa UDSM uko kwenye nini?
   
 4. king Chuga

  king Chuga JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 513
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ningependa kupata majibu zaidi kwa sababu naona wengi wanafananisha UDSM na Mzumbe?
   
 5. king Chuga

  king Chuga JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 513
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nafasi ya sita kwa mujibu wa takwimu za vyuo 100 bora barani Africa.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Apr 25, 2013
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 71,518
  Likes Received: 30,640
  Trophy Points: 280
  Nani anaandaa hizo takwimu?
   
 7. aka2030

  aka2030 JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2013
  Joined: Jan 5, 2013
  Messages: 1,095
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 280
  Udsm kimetoa watui ambao wamelisababishia hili taifa tatizo kubwa sana hawa wala rushwa mafisadi,wazembe makazini ni product za udsm mtu anashinda mliman city halafu ana maliza na g.p.a ya 3.8 kweli? Hizo rank may be ni za vyuo zinavyosababisha bara la africa liendee kuwa maskini kutokana na product zake
   
Loading...