Manispaa ya Songea ime jaa ufisadi wa hali ya juu,ambapo watendaji wake wanafanya hujuma kwa walimu wa sayansi ambao walitakiwa kuwa na semina ya kuongeza ufanisi katika taaluma yao ya...
Nilikusikiliza jana unlipokuwa unachangia hotuba ya wizara ya mambo ya vijana michezo na utamaduni, huku ukiwaponda wanamziki wa kisasi kipya. Katika mchango wako kilichoniudhi ni kitendo cha...
I am offering one (tuition free) scholarship for an interested person to study Bachelor of Science in Computer Engineering and Information Technology or Bachelor of Business Administration at the...
Deodatus Balile unaandaa vipindi vizuri na unapata wachangiaji wazuri ila
wanapokuwa wakitiririka unawakatiza na kuchomeka maswali yasiyoendana na anachoongea mchangiaji, tafadhali kaka!
Mfano ni...
Wazee wa Aza boy mpoo?
Hebu leteni stori wajameni tukumbuke tulipotoka!. ngoja mi nianze na stori za yule ticha anaitwa "mchwa". siku moja mchwa alimkuta jamaa anavuta bangi, kuona vile Mchwa...
wakuu
naomba msaada wa taarifa juu ya bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi
inawasilishwa lini??????????
MAANA KUNA TETESI KUWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA CHA SITA 2013
YATATOLEWA...
Ndugu zangu wana Jf wote , mimi nimepitai taarifa ya tume iliyo undwa na waziri Mkuu kuchunguza matokeo mabaya ya mitihani ya taifa ya kidato cha nne mwaka 2010,ambayo serikali imeamua kuificha na...
I am offering one (tuition free) scholarship for an interested person to study Bachelor of Science in Computer Engineering and Information Technology or Bachelor of Business Administration at the...
I am EXPERY PETER SHIO, student at ST.JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA.
REG NO:097104042 /BE (ECE).
fourth year 2012/2013.
form four index no: 0042/0480/2006.
i am a fourth year( seventh semester)...
Deodatus Balile unaandaa vipindi vizuri na unapata wachangiaji wazuri ila
wanapokuwa wakitiririka unawakatiza na kuchomeka maswali yasiyoendana na anachoongea mchangiaji, tafadhali kaka!
Mfano ni...
Nawakumbusha wale wanategemea kuendelea kupokea grant/Loan msisahau kufanya application sababu deadline hiyo hapo bado siku 7.
Usisahau kumkumbusha mwenzako si unajua hili lyf bila hicho kitu ni...
UFAFANUZI KUHUSU KUPITIWA UPYA KWA MATOKEO YA MTIHANI WA
KIDATO CHA NNE MWAKA 2012
|
Print |
Mnamo tarehe 03 Mei, 2013 Serikali kupitia Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Mheshimiwa Wiliam...
Wadau na wanajf
Soft cpoy ya mitaala ya masomo ngazi ya cheti na Diploma kwa ajili ya usajili NACTE inahitajika.Masomo hayo yawe ya aina yoyote ya jamii ya social science ie Business related...
Kuna watu wakipewa udaktari wa heshima wanautumia katika CV na kujitambulisha nao kila mahali kuwa wao ni ma Dr. Je hii ni sawa? Maana nasikia mara kwa mara rais wetu akiitwa Dr. kama mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.