Bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi 2013/14

ibrahimaly

Member
Feb 1, 2013
19
0
wakuu
naomba msaada wa taarifa juu ya bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi
inawasilishwa lini??????????
MAANA KUNA TETESI KUWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA CHA SITA 2013
YATATOLEWA BAADA YA KUPITISHWA BAJETI HIYO huko bungeni.
naomba kupewa taarifa kwa anefahamu juu ya hilo.
ahsanteni
 
Bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ni Jumatatu (tarehe 27) na Jumanne (tarehe 28).
 
Back
Top Bottom