Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jamani mbona hotuba ya waziri wa elimu haijataja asilimia za ongezeko la mishahara kwa walimu
0 Reactions
110 Replies
14K Views
jamani nao watu ambao wamesoma shule ya selous kuanzia miaka ya 2000 hadi 2007 kama mpo humu jf ili tufahamiane maana hapo miaka hiyo hata simu ilikuwa inshu ni mwendo wa barua tu nataka tufahamiane.
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Naomba msaada wa kuwajua maagenti au wawakilishi wa vyuo vya nchi za China,South Africa na Ukraine. Nataka kufanya masters.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie kuhusu hiki chuo kwan nina mdogo wangu amemaliza hapo st jonh diploma mwaka jana.Wakat ametuma maombi walimuambia km ana credit tano o'level anaweza chukua diploma,Niliwauliza...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
"Tafiti na uzoefu vinaonyesha idadi ya watu mbumbumbu nchini inazidi kuongezeka kila siku" Sababu zinazochangia hali hiyo ninyingi, ikiwamo ya chombo kinachohusika na Elimu ya Watu Wazima...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
TCU ndio chombo kinachohusika kwa sasa kuchagua wanafunzi wote wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu hapa nchini kupitia mfumo rasmi unaoitwa CAS. Kwa utaratibu uliowekwa kwa sasa, ina maana hakuna...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. We are representing top ranking Government...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
  • Closed
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo...
6 Reactions
178 Replies
31K Views
Npen ma full informatn na data za kutosha kuhxu poxt za advnc 2013 kwa 4m4 2012 na rexult clp mana mwez ndo unakatka hvyo 2shakata 1/2 ya mwez na shul ndo wa 7 xo hii wzara haijui kuna maandalz...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hallooooooooo! Kwa yeyote mwenye kufahamu! Plz anijuze! Hivi NECTA wanaunganisha kile cheti cha zamani na kile kipya kinachopatikana baada ya kurisiti? Naombeni kujuzwa kwa yeyote mwenye...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
jamani wanajamvi et ni kwel yanayozungumzwa mtaani kuwa wanaotarajiwa kuingia chuo 2013/14 wataanza masomo yao january badala ya october kama ni kwel tupia source of info....
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ndugu wana jamii mimi mwenzenu nimepata tatizo, nimeshajirejista tcu ila kulog in inafeli, hata vyuo sijachagua, tafadhali naombeni msaada wenu nifanye nini! muda unaniishia. please nisaidieni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msaada wenu tafadhali maana ugeni si kitu chema....nimeejaza fomu ya tcu tayari lakini pale kwenye selection status inasema not yet proccrsed na kule kwenye programs imeandikwa CHECK IN...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
A frog with one of the coolest scientific names; Excidobates 'mysteriosus.' The 'Mystis' as it's commonly called, is an extremely rare and critically endangered poison frog from a small area of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I am very pleased to invite you to the Commonwealth School Enterprise Challenge's Enriching Education Through Enterprise workshop series. The School Enterprise Challenge - Enriching Education...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi hii imekaaje wadau? Yaani shule mwaka uliopita zimeingia kwenye top.10 ila mwaka huu upo kwenye kumi mbovu...ikiwa walimu na miundo mbinu yote ni ileile...nazungumzia st.mary na green acers
0 Reactions
18 Replies
3K Views
SORRY, YOU DO NOT HAVE ENOUGH O-LEVEL CREDITS TO APPLY YOU NEED ATLEAST 3 C's IN ANY OF THE O-LEVEL SUBJECTS IF YOU HAVE RESEATED O-LEVEL EXAMS, ADD FORM 4 SEATS Ninamjazia dogo mmoja form...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale form 6 tunaoripoti katika kambi tulizopangiwa je kuna maelekezo yoyote kuhusu vitu tunavyotakiwa kwenda navyo mfano nguo n.k. ? Kwa anayejua anisaidie hapo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hizi garama ni za kweli au ushamba wangu. Niko kilimanjaro wakuu nimeulizia nimetoka kutuma form za loan app garama yake 10650 huku tayari nishatumia zaidi ya elefu 50000 katika kupata form yenyewe.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Anaejua result slip za f6 zinatoka lini au kama zimeshaanza kutolewa baadh ya shule nijulishe. plz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…