NECTA na cheti cha kurisiti!

THECHANCE

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
300
121
Hallooooooooo!

Kwa yeyote mwenye kufahamu!

Plz anijuze!

Hivi NECTA wanaunganisha kile cheti cha zamani na kile kipya kinachopatikana baada ya kurisiti?

Naombeni kujuzwa kwa yeyote mwenye kufahamu!

NB:
nilikuwa natembelea web ya NECTA nikakuta tangazo kuwa wale wenye vyeti vya matokeo ya awali ya form IV wayakabidhi kwa wakuu wao wa shule ndipo wapewe vipya vilivyobadilishwa matokeo, hapo ndio wazo likanijia kuwa hivi NECTA wanabadilisha vile vyeti vya zamani na kuunganisha na vya kurisiti ama mtu unaendelea kuwa na vyeti viwili viwili vya level moja mwaka tofauti!

Pamoja sana!
 
Hilo tangazo ni kuhusu result slip kama ulichukua unatakiwa urudishe ili upewe result slip mpya ya matokeo mapya yaliyotolewa, Pia unatakiwa utumie vyeti viwili siku hizi hawaunganishi vyeti.
 
Back
Top Bottom