Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Shaloom wapendwa....... Natafuta shule ya advance SEMINARY YOYOTE yenye mchepuo wa sayansi esp.CBA o CBG .Niko tayari kutoa vocha via pm,kwa yeyote atakaye nipa details,nikimaanisha ni ipi na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
For details visit our website Rise Study Advisors- MBBS & Engineering in China Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management in China. Admissions open for 2013 session...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Hivi kweli pamoja na makosa waliyofanya wameachwa waendelee kuongoza wizara?Vp kuhusu waliokuwa wamelipia pesa kwa ajili ya kurist inakuwaje hapo? Post wanatoa lini au ndo wamebanwa na ujuo wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana Jf ninashangazwa sana na hii serikali yetu kukurupuka katika matumizi ya teknolojia ambazo haina uwezo nazo.Leo ni wiki ya tatu tangu walimu na watumishi wengine wa Halmashauri waanze...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nyinyi ni sekta muhimu kwa uchumi wa taifa hili hivyo msikubali vitu vidogo vidogo vikaondoa sifa yenu kabisa kitaaluma.Tunaomba mtuwekee Examiners' Report ya May, 2013 kwenye matokeo ya May, 2013...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wadau naomba msaada wenu kwa anayejua: sekretariati ya utumishi wa umma waliendesha usaili mnamo mwishoni mwa mwezi May 2013 MPAKA trh 5 June 2013, lakini nimeshangaa sana katika majina ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, kuna tetesi kwamba matokeo ya mitihani ya NBAA yanatoka kesho saa saba na nusu mchana!!!!! Kwa wale waliofanya CPA na ATEC wajitayarishe kupokea matokeo yao. Kama kawaida nasikia ni...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
wana jf yeyote anaefahamu chuo kinachotoa kozi ya dilpoma in engineering especially civil & electrical naomba anambia . me nafahamu DIT pekee
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari..napenda kuuliza..hapa tanzania kuna makampunI yanayotoa sponsorship.. As wanakusomesha humu humu ndani ya nchi...si lazma uende nje ya nchi..lets say mtu hajapata mkopo wa bodi..ila chuo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kweli sisi wanafunzi tuliosoma engineering, tunaiomba serikali itupe ajira ya ualimu katika masomo ya science, maana tunazidi kuleta umasikini huku mtaani hamna kazi. Industry ni ndogo na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kuna hii body inaitwa kenya accountant and secretary national examination body,nina kijana wangu kamaliza chuo anataka kujiunga hii body kufanya mituhani ya certified securities and investment...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimesha lipia bodi na nina username na password ila niki login ujumbe huu unakuja A Database Error Occurred Unable to connect to your database server using the provided settings. naomba msaada...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu nategemea kuchukua moja kati ya hizo kozi (Bachelor) , Na nipo dilemma hasa ukizingatia swala la uchaguzi wa course ni gumu.. Ningependa kuchukua ipi ipo marketable na urahisi wa upatikanaji...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Eti wadau ni masomo kumi au manne............na details mmezipata wapi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
For details visit our website Rise Study Advisors- MBBS & Engineering in China Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management in China. Admissions open for 2013 session...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Naomba kujua kulingana na matokeo ya mwaka huu vijana wengi hawajafikisha cut-offs za 4.5 je unaweza kuchukuliwa kwenye chuo vyenye uhitaji huo(4.5) ukiwa na pungufu ya hizo mfano una 3.5 naomba...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
leo mida kama ya saa11 JION nmejaribu kuingia katika mtandao wa tcu nimeshaa kuona nmechagulia vyuo vipya na mipango mipya kabisa..nlifikiri tatizo ni langu peke yangu lakini nlipojaribu kuuliza...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
If someone is in need of being a lecturer, what are the steps he/she is required to follow...? Including what fuculty in university level one is required to take...? Pliz help...!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani wazoefu msaada kidogo...nimetembelea profile yangu ya TCU leo karibu nizimiee.... Nimekuta selection zangu zote zimevurugwa vurugwa na nimewekewa mpya..mbaya zaidi hizo mpya zenyewe...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za Kuaminika ni kwamba kulikuwa na matengezezo kwenye Mitambo yao (SEVERS); ambayo yalipelekea kubadilika kwa Programm za waombaji na kwamba hilo halikuwa ni tatizo bali ilikuwa ni zoezi la...
1 Reactions
3 Replies
940 Views
Back
Top Bottom