Anaye Fahamu Naomba Msaada Bandugu.

Godwishes

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
640
165
Shaloom wapendwa.......
Natafuta shule ya advance SEMINARY YOYOTE yenye mchepuo wa sayansi esp.CBA o CBG .Niko tayari kutoa vocha via pm,kwa yeyote atakaye nipa details,nikimaanisha ni ipi na namba za rector if posibo.Iwe ya BOYS TU.
 
Nyie watu mnapenda ukabila sana na sijui kama ipo siku nshomile atakuwa rais wa tz.
ungechangia mada fest then ukaponda. Ktk hilo umedhihirisha kuwa...... Hakuna cha ukabila bhana is the matter of mtizamo
 
Bwana Yesu asifiwe mkuu Godwishes, Njoo Junior lutheran seminary ipo moro mji kasoro lakin ni mixer pia kwa academic perfomance iko poa sana yani div 1 na 2 ni kama mchanga wa bahari, Pia ukisoma hapo chuo uhakika mkuu tena UDSM.
 
Last edited by a moderator:
Shaloom wapendwa.......
Natafuta shule ya advance SEMINARY YOYOTE yenye mchepuo wa sayansi esp.CBA o CBG .Niko tayari kutoa vocha via pm,kwa yeyote atakaye nipa details,nikimaanisha ni ipi na namba za rector if posibo.Iwe ya BOYS TU.
Mafinga Seminary ile inayomilikiwa na jimbo katoliki la Iringa but lazima uwe mkatoliki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom