Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani wana jamvi wenzangu la elimu nilikuwa naomba kwa yeyote anayefahamu website ambayo nnaweza kushusha vitabu bure bila malipo anisaidie.. vitabu vya masomo ya science lakn kwa A-Level maana...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
  • Redirect
Ugonjwa wa Kichocho ni ugonjwa hatari unaenezwa na konokono wanaoishi katika maji baridi (yasiyo na chumvi) katika nchi za kitropiki. Ugonjwa huu unasababishwa na minyoo bapa wanaoshambulia zaidi...
0 Reactions
Replies
Views
Wahitimu wa shahada ambao wamesoma coz moja masomo yanayofanana wote chuo kimoja wote wamejaza form za kuomba ajira wizara ya elimu ajira zimetoka baadhi wameajiriwa wengine wanaachwa wanaenda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwenye website ya chuo cha ardhi kuna link ya kushusha barua hizo, na ukiclick link za barua za program nyingine zinaachia mzigo na unadownload lakini mimi ambaye shida yangu ni kushusha adm...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nisaidieni kupata majina ya wote waliopata mikopo tafadhali,,,,
0 Reactions
15 Replies
4K Views
wale walio subiria admision letter udom tayari wametoa tembelea huko
0 Reactions
9 Replies
3K Views
jaman matokeo vp? Inasikitisha yanavocheleweshwa kwa kwel! inakatsha tamaa
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Duh ushaul jaman maana nmechaguliwa ualimu, na me nipo interested na afya, nifanyaje jaman maana afya wanachelewa!
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama uliomba udom kwa awamu ya 3,..wametoa selection ,go and check,..udom website for more info! Via updated-boy!
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mtatoa lini majina ya wanafunzi watakaopata mikopo jamani????????????
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jaman vp kwa anayesoma hii coz technology of horticulture st.joseph wanayo mikopo wadau au hakuna
0 Reactions
5 Replies
759 Views
Habari wana JF UDSM kumekua na utapeli ambao unaendelea, miaka miwili iliyopita UDSM kupitia tawi lake la COET limetangaza kuanzisha kozi ya Record and Archives Management chini ya tapeli mkuu Mr...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
kwa waliomba wizara ya afya tembelea http://www.moh.go.tz reviewed list of candidates selected to be sponsored by MOH for 2013/14 Academic year
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dar es Salaam. The Higher Education Students’ Loan Board (HESLB) plans to spend Sh325 billion in loan disbursement to students in the 2013/14 academic year. About 62,000 students, 32,000 new...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya heka heka , kukosa usingizi na wasiwasi wa muda mrefu, wanafunzi wenye vigezo vya ufaulu kidato cha sita na diploma wamepata matokeo ya vyuo pamoja na kozi walizozichagua, wote twajua...
0 Reactions
102 Replies
8K Views
Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu inategemea kukamilisha na kutoa majina ya vijana waliobahatika kupata mkopo wiki ya pili ya mwez wa kumi. hayo yalizungumzwa na mkurugenzi msaidizi...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Kwa wanafunzi wote waliochaguliwa udsm jumaa tatu tunatakiwa tukachukue admission letter kwa wale wa jk nyerere mlimani campus zitatolewa yombo.
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Back
Top Bottom