Matty96
JF-Expert Member
- Jul 1, 2013
- 215
- 194
Jamani wana jamvi wenzangu la elimu nilikuwa naomba kwa yeyote anayefahamu website ambayo nnaweza kushusha vitabu bure bila malipo anisaidie.. vitabu vya masomo ya science lakn kwa A-Level maana mambo ni mengi na material yanakuwa machache hivyo tunashindwa kufanya kazi ya kusoma effectively ukizingatia mabook mengi bei ziko juu sana.... na vitabu vinahitajika vingi sana..... Msaada please kwa anayefahamu anisaidie mie mwana-PCB