Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

I am very glad to announce to those persuing LL.B that apart from providing PhD of Laws, Masters of Laws, Bachelor of Laws, Diploma and Certificate of Laws, now St. Augustine University of...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
wewe unaesubiri hebu soma hapa usichanganywe BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inaendelea kuchambua wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu, waliofikia vigezo vya kupewa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wapendwa; Nina ziara na wageni Bagamoyo.Ninaomba Msaada wa Mtu wakutuongoza (guide) Kazi ni ya siku moja (Wanafunzi wa kitanzania) kwa malipo ya Tsh.20,000/. Kuanzia saa Tatu asubuhi hadi saa nane...
0 Reactions
4 Replies
931 Views
Ndugu zangu inasikitisha mpaka leo majina ya waliomba kusoma kozi mbalimbali kupitia wizara hawajatoa,maana tangazo lao toka mwezi wa kwanza haina maana kuwahisha tangazo wakati majibu mpaka sasa...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
NAOMBA CLICK HIZI LINK TAFADHALI NAJITAHIDI KU UPLOAD KADIRI NTAKAVYOWEZA ILA USHAURI MNGESUBIRI BAADAE MAANA WEBSITE YA LOAN BOARD IKO CHINI MAANA WATUMIAJI WAMEZIDI KIPIMO KWA SASA.. UPDATE...
21 Reactions
310 Replies
134K Views
Mi nadhani ifike mahali watu watumie akili, mtu unakurupuka na kuanzisha thread yako ya ajabuajabu tu. Kwanini msitulie na kungoja hadi HESLB watoe wenyewe? Au mnataka tujue kwamba nyie ni...
0 Reactions
2 Replies
935 Views
jaman mbona hawa tcu mambo yao taratibu sana, tangu wametoa nafasi ya kuhama vyuo, mpaka leo hawajatoa majina,na vyuo vimesha funguliwa,hivi hawaoni kama wanawachelewesha wanafunzi masomo?mkopo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo group la kwanza la wanafunzi wa 4m 6 laapa wengine tarehe 27 mwezi huu
0 Reactions
22 Replies
3K Views
naomba msaada kuhusu hii course baadhi ya sehemu unazoweza kuajiriwa
0 Reactions
70 Replies
8K Views
vijana iweni makini huko vyuoni.hawa wa2 wapo.kuwa makini ucje graduate na vidudu. Kapgen msuli ndg zngu
0 Reactions
13 Replies
8K Views
wadau wa jf hasa kwa wale tunaomsubiria huyu bwana heslb kaeni mkao wa kula kwa mtonyo niliopewa na mdananda wa pande hizo anasema kesho mzigo watauweka hewani tho stay tuned by 2moro kuanzia saa nne.
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Ambae anajua link ya kupata majina ya wanafunzi waliopewa mkopo mwaka 2013/2014 atupie hapo basi tuyaoe wote. nyc tuesday.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari wana jf..... leo bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeitisha mkutano na waandishi wa habari kwa taarifa zaidi usikose kufuatilia habari ya saa mbili usiku:source mdimu's blog Nawasilisha
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wale waliopata bahat ya kupata chuo bora cha kimataifa udsm tufahamiane hapa na kusaidiana hapo pia second year na kuendelea pia 2nahtaj msaada wenu
0 Reactions
20 Replies
2K Views
wana JF wale wenzangu na mimi tumuombe mungu kuhusu loan maana huyu jamaa ni kama kifo muda wowote atakuja na huondoka akiwa na sehem mbili wenye furaha na wenye majonzi tukazane kumuomba muumba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
nasema hivyo kwa sababu kuna mijitu ingine bana cjui inakurupuka. toeni taarifa sahihi kwa wakati sahihi. kuna watu wana presha zao huku. so fresh mnavyofanya
0 Reactions
2 Replies
896 Views
Kumekuwa na kasumba ya wa Tanzania kusema elimu ya nje ni rahisi kulingalisha ya TZ. Je ubora means ugumu?. Kwa kufungua mada ningependa kuongelea elimu ya Engineering. Navyofahamu mimi wezetu wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Imekaaje kwa mtoto wa kiume kusoma kozi ya sekretari, maana juzi nilipita magogoni nikakuta nwanaume anasoma kozi ya sekretari.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom