Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba matokeo ya kidato cha pili ya mkoa wa mtwara.
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Watanzania wenzangu naomba taarifa yoyote mpya kutoka HESLB kwa mwenye nayo juu ya rufaa zetu.Nashukuru
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni shule ipi ya binafsi ungenishauri nimpeleke mwanangu Iringa mjini kwa kidato cha kwanza 2014? zingatia pia maadili siyo ufaulu tu.
0 Reactions
11 Replies
17K Views
Habari, Naomba kama kuna mtu mwenye soft copy au hard copy ya hicho kitabu aniPM tuwasiliane. Waandishi ni Philip Hardwick,John Langmead na Bahardul Khan. NATANGULIZA SHUKRANI.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hivi wizara ya elimu inamakosa gani.? Mbona manaibu waziri wa serikali hii elimu yao siyondogo lakini je wanao ueledi wa kusimama mbele ya tendaji wa wizara hiyo waliyobobea katika elimu. Naanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu,me naomba kufahamu kuwa kwa nini chuo kikuu cha dodoma mara nyingi kinakumbwa na kashfa za uduni wa taaluma na masuala ya ngono?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar za kaz wakuu, Mimi ndo namalizia mwaka wa mwisho nasoma BAED ( Geography na History) niliitaji kuunganisha Master, Tatizo ni taratibu sifaham zikoje? na pia ni Master ipi ambayo inasoko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ndugu wanajamvi kama kicha habar knavyojieleza, naomba msaada wenu wa kuvijua vyuo vya sheria kwa ngaz ya cheto coz kunamdogoangu almalza kdato cha nne mwaka 2012 xo anataka akajiunge mwaka huu na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari zenu wana jukwaa! leo tutoke kitofauti kidogo! tutazame hasa nini sabau hasa ya ongezeko kubwa la watoto wetu kufeli mitihani yao ngazi tofauti tofauti katika elimu? wana jf, kuna sababu...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa kiume, nina umri wa miaka 22, natoka ktk familia ya kawaida ya kitanzania, ninasoma kdt cha 6 mchepuo wa PCM. Ninatamani sana kusoma kozi ya 'aeronautics'. Nilifuatilia kozi...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Inasemekana kuwa mtihani wa darasa la saba mikoa ya Njombe na Iringa umerudiwa kusahihishwa na kupata shule mpya zinazoongoza badala ya shule ya BAKITA ni St.Benedict.Je inamaana njia zakisasa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi karibuni kumekua na ombwe la kuajiri walimu toka nchi jirani ya kenya katika shule binafsi kwa mantiki ya kufundisha lugha ya kingereza kwa ufasaha. Shule hizi zimekua zikiwapa ajira walimu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Bado nawaombeni mwl kutoka mbeya jiji au rungwe tubadilishane vituo vya kazi aje korogwe mji 0752588522
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi mimi nipo mbozi S/M IPANZYA,natafuta anayefundisha wilaya ya MUFINDI IRINGA sehemu yoyote aliye tayari anipigie 0755814442
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimejaribu kupitia articles chache zikiwemo hizi za Josephat M. Rugemalira, Line Kjølstad Gran, E Sa, Casmir M. Rubagumya, na nyingine kadhaa, lakini nikaoanisha na tunayoshuhudia katika ulimwengu...
11 Reactions
149 Replies
18K Views
Naomba mnisaidie kama kuna mtu anajua jinsi ya kusajili chuo cha mafunzo ya redcross
0 Reactions
0 Replies
964 Views
kwa mwalimu yeyote anayetaka kubadilushana kituo daraja IIIA kutoka dodoma kuja Iringa mufindi tuwasiliane mawacliano ni 0755403912,0757695547,0653534856
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna tetesi zimeenea ya kwamba, serekali imesema kuwa wanafunzi wote watakaofeli mtihani wa kidato cha pili mwaka huu, waruhusiwe kuingia kidato cha tatu huku wakipewa kozi maalum kwa ajili ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Yametoka ila kwa amri ya wizara wote wenye wastani wa 20% nakuendelea watajiunga na kidato cha tatu. Machali mtaani wanashangweka tu na kudai ni lazima wa BRN mpaka university
0 Reactions
9 Replies
9K Views
habari zenu wadau msaada kati ya civil engineering na architecture which is the most competent course help plz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom