Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hivi hizi ajira za walimu ni lini? WanaJF naomba mnijuze kama kuna mwenye nyepenyepe!
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Yaani ndugu zangu watanzania yatakamoyo kuisapoti hii wizara, mwenzenu cheti cha form four kimeibiwa, sasa nilipoenda baraza la mitihani wakaniambia nikiatanze kwenye magazetii ya serikali yaani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada wa kujua shule za sec zinazojihusisha na michezo. Nina mtoto anaingia form two anapenda sana michezo na kichwani so you sharp sana. Ningependa nimkuze kimichezo zaidi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi nchi hii ya Tanzania ni madudu gani tunayafanya katika elimu. Kwanin serikali inacheza na elimu kwa watoto wetu kiasi hiki? Kidato cha pili kwenda kidato cha tatu eti ni wastani wa 20...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Full Scholarships: Africa 2014/2015
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Elimu yetu imekua chini maana tumeshindwa kuwapa wataalamu wakaipika idara hii,mtaani mashabiki wamekua wengi na kila mtu ni mtaalamu wa elimu,mbona haziingiliwi Idara zingine kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada wa chuo cha kusomea mambo ya maabara Dar es Salaam. Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne na hakufaulu vizuri. Hata hivyo angependa akasome mambo ya nursing au laboratory...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
actuarial science ni masomo yanayohusiana na nini
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Natafuta msaada wa scholarship ya kumalizia masomo yangu, niko mwaka wa pili nasomea Medical laboratory Technology.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
MBINU 10 ZA KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU TANZANIA(MAKALA,,,MWANANCHI) Makala haya yanaangazia baadhi ya mikakati inayoweza kunusuru elimu ya watoto wetu, ili hatimaye waweze kupata stadi na ujuzi...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimemtunukia/patia shahada ya uzamivu ya kiswahili (PhD in Kiswahili) ndugu Method Samwel, kwa sasa anaitwa Dkt. Method Samwel. Dkt. Method Swamel ameweka rekodi kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hasa kwa wafanyakazi wa taasisi za elimu ya juu; Ngazi ya mshahara ya PHTS8 ina mshahara kiasi gani?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni jambo la kushangaza sana ndg zangu. Kuna shule moja inaiwa Juma kisiwani, ni shule ya msingi iliyopo kata ya Katunguru Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza. Shule hii licha ya kuwa na uhaba wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
mpaka sasa matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha 2 mpaka leo hayatoka huku shule zikiwa zimefunguliwa,nini tatizo makamanda?BRN vipi imekula kwao sana?
0 Reactions
34 Replies
85K Views
jaman ndugu zangu wa jf habari zenu,nahitaji msaada wenu wa mawazo kwa hili,mimi nimehitimu chuo cha ualimu grade (a) mei mwaka jana.na hivi majuzi nimefanya interview ya jkt na nimefuzu pia mmoja...
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Kwani Wakati mwingine KAWAMBWA atumie tu ustaarabu aachie kiti. Huenda rais anamuonea aibu kumtimua. Kawambwa wewe ni mtu mzima kwanini usione aibu kwa kushindwa kutatua kero za elimu ukawaachia...
0 Reactions
2 Replies
980 Views
Habari. Naomba kujua muda ambao waombaji hupata matokeo yao baada ya kuomba Tgcl scholarship na je scholarship Hii ni yenye uSawa kwa waombaji au inaubaguzi/upendeleo?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu,hope mko poa kabisa!Ninapenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi mzima wa JF,pamoja na members wote kwa ushauri,maelekezo na muitikio wenu wakati ule nilipokuwa nikihangaika namna ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi, Nimekuwa nikiumia sana kwa jinsi siasa mbovu za hii nchi yetu zilivyoingizwa kila sekta ya nchi. Nakumbuka wakati ambao tulikuwa hatujaingiliwa na mmomonyoko wa maadili kulikuwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Tafadhari waliosoma science na kupata alama hizo watasoma miezi 3 masomo yake mawili ya sayansi na kufanya mtihani akifaulu anajiunga na diploma ya ualimu mwezi wa saba mwaka 2014.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom