Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

waungwana,kama heading inavyojieleza ni mdogo wangu alichaguliwa kujiunga kidato cha tano lakini aliugua kwa mda mrefu sasa amepona ila anataka kusoma computer science tafadhal kwa anayekijua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mjb wa wazr w elm n mafnz y ufnd ndg shukur katambwa matokeo ya fom 4 yamekarbia ktoka.Kufkia feb,18 yatakuwa tyar
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Naibu waziri wa Elimu,Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Elimu,Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu. Naamini kwa hivi sasa moja ya mambo makubwa yanayotikisa sekta...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mh; Waziri napenda kukutumia barua ya wazi kutokana na kukosa namba yako ya simu. YAH;MIZENGWE KATIKA NAFASI ZA WATOTO WALIO FAULU NA KUTAKIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA. Rejea kichwa cha...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
ningeomba kujulishwa tarehe ambapo matokeo ya kidato cha nne 2013 yatatoka
1 Reactions
3 Replies
16K Views
1. Yunnan university of TCM-MBBS&NURSING 2. Jiangxi university of TCM (im studying in this too)-MBBS 3. Hubei university of TCM -MBBS 4. Jingganshan university-MECHANICAL ENGINEERING. ELECTRICAL...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kweli mimi najisikia kufa kufa baada ya kusugua bench tangu may 2013 na ka diploma kangu ka ualimu nikiwa nasubiri ajira mpya. Kunamtu alisema Mulugo alipo kabidhi ofisi walisahau kumuomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu Zangu Wana JF Kwa Jina Naitwa Philipo Ndunguru, Ninaomba Msaada Wa Ufadhili Wa Kujiendeleza Kielimu.Nimemaliza 4m Six 2013 Kwa Shida Na Nimechaguliwa Kujiunga Na Masomo Ktk Chuo Kikuu Cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna mtu anaweza kujua mahali ulipo na unafanya nini kny computer yako???? utajuaje km yupo, sina amani na laptop yangu lol:mod:
1 Reactions
4 Replies
1K Views
UE
AMUCTA kikaangoni leo.sup tano,kwenu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wana JF,kiambatanisho(attachment) kina habari ya kiuchunguzi juu ya kilichoripotiwa kwenye Tittle,Pitia attachment upate ukweli wa hii habari
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna taarifa zimezagaa kua walimu wameongezewa mshahara asilimia 75, naomba majibu yenu yenye uhakika coz kuna ndg yngu yuko kijijini ni mwl ananisumbua ili apate uhakika. Great thinkers comment .
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Jamani natafuta shule ya international school kwa ajili ya watoto wangu iliyopo jiji la Mbeya yenye kutumia IB or CIE curriculum kwa kufundishia. Naomba usaidizi wenu kwa yeyote mwenye kujua...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tunalaumu Walimu kuwa chanzo cha mdororo wa elimu hapa Tanzania. Je vyombo vilivyoundwa ili kusaidia kuboresha elimu (kama vile Maktaba za Umma) vinatekeleza majukumu vilivyopewa? Mdadisi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mtu aliyesoma dip. In electronics and telecommunication anaweza kusoma telecommunication UDSM.kama ndio ni kwa mda gan?.msaada nwa anayejua tafadhal. Thanks in advance!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo katika maandalizi ya mitihani yangu. Nimeona njia rahisi ya kujizuia kuingia humu ni kuwa katika definite ban. Specifically, ninaomba ban ya siku 14 na ningependa iishe siku ya Jumatano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ndugu zngu hakuna ajira kwani serikali imefulia
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kiongozi kama naibu waziri wa tamisemi kasimu majaliwa yafaa ajiuzuru kwa kauli yake. mwishoni mwa mwezi wa 12 waziri huyu alisema ajira za ualimu zitatangazwa mapema mwezi january, saihiv...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuchukua nafasi kwa kusema kwamba kulingana na vyuo tunavyotoka kusema kweli kuna vyuo vina elimu ngumu,USHAURI ni kwamba kwa yule aneona hana msuli wa kutosha aombe kuelekezwa asije ishia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali imekusudia kutoa tabuleti ya kufundishia masomo mbalimbali kwa shule za sekondari hapa nchini.ili kukamilisha mpango huo serikali imeingia ushirikiano na taasisi ya kimarekani ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom